Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,346
Lakini revenge yetu nyinyi mnaliaPoleni sana wanawake.... Sijui tuseme Mungu atawalipia au mtajilipia wenyewe.
Lakini revenge yetu nyinyi mnaliaPoleni sana wanawake.... Sijui tuseme Mungu atawalipia au mtajilipia wenyewe.
Kama ni kwa kona ile aliyokula mzee bora afanye revenge.Lakini revenge yetu nyinyi mnalia
Anaweza akamtunuku kitumbua mwanakwaya hapo kanisani. Na mzee baba asijueKama ni kwa kona ile aliyokula mzee bora afanye revenge.
Mnaumia sana muda mwingine kwa upuuzi wetu.
Mnhh... We jamaa kweli utakuwa KINIKIA..Nonsense
Inategemea na kitumbua kilivyo, na huyo mwanakwaya karidhia kula kitumbua cha unga wa mahindi.Anaweza akamtunuku kitumbua mwanakwaya hapo kanisani. Na mzee baba asijue
Mke wa Askofu Gwajima Amkingia Kifua Mumewe “Mimi ni jasiri kama Simba, Mume wangu namfahamu”
Haya ni maneno ya Mke wa Askofu Gwajima “Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye, nitasimama na yeye na Mungu akiwa upande wetu hakuna atakayeweza kuwa juu
Maneno meeengi, kubali tu umekosea. Kama ulitaka kandika hivyo ungeandika Strong woman na sio strong of a womanso many explaination wewe unafikiri lugha ya kwenu huko kambi ya fisi, PAMBAFU
“A strong woman is self-aware. She continually tries to overcome her fears, she knows how to control herself, and she is patient no matter the situation. She isn’t afraid to reveal her feelings because we all have them, and she shows hers without caring what other people think.”
Waumini wake watasema hajakosea.Maneno meeengi, kubali tu umekosea. Kama ulitaka kandika hivyo ungeandika Strong woman na sio strong of a woman
Lugha ya malkia ni sheedahKiingereza chako bhana. Naona ungeandika Strength of a woman.
Unataka afarakane na mumewe akose zile sadaka mkuu
Yani bado unaendelea kuchapia tu, "explaination" ndo nini?so many explaination wewe unafikiri lugha ya kwenu huko kambi ya fisi, PAMBAFU
“A strong woman is self-aware. She continually tries to overcome her fears, she knows how to control herself, and she is patient no matter the situation. She isn’t afraid to reveal her feelings because we all have them, and she shows hers without caring what other people think.”
Maneno meeengi, kubali tu umekosea. Kama ulitaka kandika hivyo ungeandika Strong woman na sio strong of a woman
Hapo sio kwamba ana muamini ....ila anajaribu kumkingia kifua ili kuinusuru biashara yao ya kanisa isije kudoda ..... if akiachana na gwajima unadhani ukwasi ataupata wapi !?Ni kosa kubwa la kiufundi wanawake kutuamini na ndiyo maana tunatumia huo mwanya kupiga mashuti ya mbali..
Kiingereza chako bhana. Naona ungeandika Strength of a woman.
Unataka afarakane na mumewe akose zile sadaka mkuu
Sometimes tunajilipia wenyewe..... Na tukijilipia wenyewe shetani anakaa pembeni ana take notePoleni sana wanawake.... Sijui tuseme Mungu atawalipia au mtajilipia wenyewe.
Sometimes tunajilipia wenyewe..... Na tukijilipia wenyewe shetani anakaa pembeni ana take note
Ooh kumbe anapalilia kibarua chake cha ndoa.Hapo sio kwamba ana muamini ....ila anajaribu kumkingia kifua ili kuinusuru biashara yao ya kanisa isije kudoda ..... if akiachana na gwajima unadhani ukwasi ataupata wapi !?
Mjini hapa mkuuOoh kumbe anapalilia kibarua chake cha ndoa.