Mkuu ukioa mzungu Kibongo bongo ujiko sana lakini wanao oa iwa wanaangalia sana kwenye maswala ya makaratasi kurahisishiwa.
Kwani kwenye kale kamchezo ka kumegana hawakawezi? Sijawahi jaribu nao.
Mkuu ukioa mzungu Kibongo bongo ujiko sana lakini wanao oa iwa wanaangalia sana kwenye maswala ya makaratasi kurahisishiwa.
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!
Kwani kwenye kale kamchezo ka kumegana hawakawezi? Sijawahi jaribu nao.
Wabongo wengi hutafuta papers baada ya hapo divorce!
fidel na masanilo bwana basi tu yoyo yupo wapi?nikiboreka huwa nasoma michango yenu na nacheka sana hasa mkiwa wote kwenye thread moja
fidel na masanilo bwana basi tu yoyo yupo wapi?nikiboreka huwa nasoma michango yenu na nacheka sana hasa mkiwa wote kwenye thread moja
Halafu wengi huowa yale mabonge kama mama Rwakatare, wasio na soko
ngoja aje adhibitishe mwenyewe hizi tetesi.ila kweli wewe ,fidel,yoyo na julius mkiwa thread moja bila kumsahau kely.Wala usikonde wewe ni PM nitakuwa nakuchekesha zaidi hahahaahah...Kuna tetesi hapa Mjini Yo Yo amehusishwa na ugaidi ....!