Mzungu ana nyaraka zote za kumruhusu kuwinda Mamba, TAWA wamkamate waone!

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,505
TAWA wanacheza na akili za Wapumbavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku-reason hakupo kabisa.

Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi zote za kumuruhusu kuwinda huyo Mamba mkubwa na hakuna kitu anaweza fanywa.

TAWA wanajua kabisa mzungu ana vibali vyote alivyo pewa na hao hao TAWA wenyewe, na wanacho kifanya ni kuhadaa wapumbavu wa nchi hiii kwamba wanafuatilia jambo na hatua zitachukuliwa, waende wa mkamate mzungu si ndie mshikwa na ngozi?

Hakuna hata mmoja kuanzia Waandishi wa habari wanaohoji kama Mzungu kakamatwa kwa kufanya ujangili Tanzania.

Cha kwanza TAWA walipaswa kumkamata yule mzungu kama ingekuwa ni kweli kafanya makosa. Ila TAWA wanajua mzungu alipo na hakuna wanacho weza kumfanya na hadi sasa wala hajahojiwa lolote na hawadhubutu kumuhoji anaweza waaibisha mbaya.

Unaambiwa mzungu hadi sasa hajaulizwa kuhusu kuwinda Mamba, yuko Arusha now na TAWA wanajua alipo na hoteli alipo pia.

Wazungu sio wajinga kama tulivyo sisi, hao TAWA wanacheza na akili za sisi Wapumbabu wa Taifa hili.

Kwa kifupi hao TAWA ndio madalali wakuu wa wanyama poli nchi hii, TAWA ndio majangili wenyewe na ukitaka ufanikiwe kwenye ujangili shirikiana na hao TAWA.

Baadae sana mtaambiwa Mzungu katoroka nchi, na haijulilikani alipo na TAWA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea kumsaka either TAWA wanawasaka Watanzania walio shirikiana na mzungu kufanya huo uwindaji. Ngojeeni hii habari kutoka TAWA.

==== =====

Tamko la TAWA
Snapinsta.app_412718846_657535756330591_3507257105416627177_n_1080.jpg

Pia soma = Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi
 
Hili liko wazi kabisa, mzungu hawezi kufanya kile alichofanya bila kuwa na ruhusa ya kufanya hivyo, unless awe chizi.

Hao TAWA sijui wanaona shida gani kutuambia mzungu ana kibali cha uwindaji hii biashara iishe, tatizo letu kila jambo tunaligeuza siasa, mpaka masuala nyeti yaliyopo kisheria.
 
Ishu ni kwamba TAWA huwa wanatoa vibali ndivyo sivyo, wanajua fika wao ndio wana Makosa, sasa hawawezu kubali so wanajaribu kuhadaaa watu na baadae tuambiwe Mzungu haonekani
 
TAWA wanacheza na akili za Wapumhavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku reson hakupo kabisa.

Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi zote za kumuruhusu kuwinda huyo Mamba mkubwa na hakuna kitu anaweza fanywa.

TAWA wanajua kabisa mzungu ana vibali vyote alivyo pewa na hao hao TAWA wenyewe, na wanacho kifanya ni kuhadaa wapumhlbavu wa nchi hiii kwamba wanafuatilia jambo na hatua zitachukuliwa, waende wa mkamate mzungu si ndie mshikwa na ngozi?

Hakuna hata mmoja kuanzia Waandishi wa habari wanao hoji kama Mzungu kakamatwa kwa kufanya ujangili Tanzania.

Cha kwanza TAWA walipaswa kumkamata yule mzungu kama ingekuwa ni kweli kafanya makosa. Ila TAWA wanajua mzungu alipo na hakuna wanacho weza kumfanya na hadi sasa wala hajahojiwa lolote na hawadhubutu kumuhoji anaweza waaibisha mbaya.

Unaambiwa mzungu hadi sasa hajaulizwa kuhusu kuwinda Mamba, yuko Arusha now na tawa wanajua alipo na hoteli alipo pia.

Wazungu sio wajinga kama tulivyo sisi, Hao TAWA wanacheza na akili za sisi Wapumbabu wa Taifa hili.

Kwa kifupi hao TAWA ndio madalali wakuu wa wanyama poli nchi hii,TAWA ndio majangili wenyewe na ukitaka ufanikiwe kwenye ujangili shirikiana na hao TAWA.

Baadae sana mtaambiwa Mzungu katoroka nchi, na haijulilikani alipo na TAWA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea kumsaka either TAWA wanawasaka Watanzania walio shirikiana na mzungu kufanya huo uwindaji. Ngojeeni hii habari kutoka TAWA.
".........TAWA wanajua kabisa mzungu ana vibali vyote alivyo pewa na hao hao TAWA wenyewe, na wanacho kifanya ni kuhadaa wapumhlbavu wa nchi hiii kwamba wanafuatilia jambo na hatua zitachukuliwa, waende wa mkamate mzungu si ndie mshikwa na ngozi?"
Huo ni UTHIBITISHO tosha kwamba hao TAWA wamegawanyika wao kwa wao 1. Wanaojua, 2. Wasiojua au Limbukeni.
Huenda wale wasiojua Taratibu, vigezo na Masharti ndo wanaopiga kelele hapa.
Au kati ya wale kundi la wanaojua wapo baadhi hawakulambishwa asali na ndo wanaolia-lia hapa. :oops:
 
TUNASUMBUKA BURE TU, LILILOFANYIKA HALIWEZEKANI BILA VIBALI MAALUMU, SHORT AND CLEAR.
OMBENI VIBALI TUWAPELEKE HUKO RUKWA MKAJIZOLEE MAMBA WA KUTOSHA, AMBAO WAMEKUWA TISHIO KWA MAISHA!
Wanakuwaje tishio? wanaishi mjini au kwenye makazu yao? kati ya bibadamu na Mamba nani anaenda kumchokoza au kunfuata mwenzake kwenye makazi yake?
 
Watanzania tuwe tunajadili mambo ya msingi, mamba mbona wapo wengi sn huku kitaa wala hawana issue na tuna waua na wao wanaua ndugu zetu?
Kule Serengeti Nyumbu, Swala, punda milia, na kadhalika pia wako wengi sana, saaa wauliwe kihuni kisa wako wengi? swala sio kuwa wangapi swala ni sheria zinaruhusu? wana haki ya kuishi hata kama wako wengi kiwango gani mkuu, ni kwa faida pia ya vizazi vijavyo, fikiria labda Babu zet na wao wangeruhusu haya je ingejuwaje?

Baaada ya sisi kuna watu wanapaswa kuendelea kuishi, make akili zetu tunajua sisi ndio wa mwisho baada ya hapo ni mwisho wa Dunia.
 
Upo sahihi lakini mbona huwa wanavunwa kila mwaka ili kuwapunguza?
 
TAWA wanacheza na akili za Wapumhavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku-reason hakupo kabisa.

Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi zote za kumuruhusu kuwinda huyo Mamba mkubwa na hakuna kitu anaweza fanywa.

TAWA wanajua kabisa mzungu ana vibali vyote alivyo pewa na hao hao TAWA wenyewe, na wanacho kifanya ni kuhadaa wapumhlbavu wa nchi hiii kwamba wanafuatilia jambo na hatua zitachukuliwa, waende wa mkamate mzungu si ndie mshikwa na ngozi?

Hakuna hata mmoja kuanzia Waandishi wa habari wanaohoji kama Mzungu kakamatwa kwa kufanya ujangili Tanzania.

Cha kwanza TAWA walipaswa kumkamata yule mzungu kama ingekuwa ni kweli kafanya makosa. Ila TAWA wanajua mzungu alipo na hakuna wanacho weza kumfanya na hadi sasa wala hajahojiwa lolote na hawadhubutu kumuhoji anaweza waaibisha mbaya.

Unaambiwa mzungu hadi sasa hajaulizwa kuhusu kuwinda Mamba, yuko Arusha now na tawa wanajua alipo na hoteli alipo pia.

Wazungu sio wajinga kama tulivyo sisi, hao TAWA wanacheza na akili za sisi Wapumbabu wa Taifa hili.

Kwa kifupi hao TAWA ndio madalali wakuu wa wanyama poli nchi hii,TAWA ndio majangili wenyewe na ukitaka ufanikiwe kwenye ujangili shirikiana na hao TAWA.

Baadae sana mtaambiwa Mzungu katoroka nchi, na haijulilikani alipo na TAWA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea kumsaka either TAWA wanawasaka Watanzania walio shirikiana na mzungu kufanya huo uwindaji. Ngojeeni hii habari kutoka TAWA.
Sema siyo jingakm wewe, sisi tuna akili we bwege. Nini kinakutoa povu hivyo? Pilipili usisozila zakuwashia nini we mbuzi
 
Back
Top Bottom