Mke Mzungu!

ngoja aje adhibitishe mwenyewe hizi tetesi.ila kweli wewe ,fidel,yoyo na julius mkiwa thread moja bila kumsahau kely.

Kikubwa Yo Yo amefulia choka mbaya nimemwambia anitafute nimuwezeshe yeye anaona aibu.
 
ngoja aje adhibitishe mwenyewe hizi tetesi.ila kweli wewe ,fidel,yoyo na julius mkiwa thread moja bila kumsahau kely.
HAPANA sitakuPM maana napenda mkiwa kwenye thread moja

Basi dondosha namba ya simu tu tuwasiliane si unajua mambo ya week end na kujiexpress?
 
Nakumbuka ulisha tangaza kuhama kwenye chama changu cha kujiexpress vp tena mkuu uzarendo umekushinda nn? Nilikwambia huwezi wewe angalia sasa mate mate hayo. Umeona penzi binafsi halilipi mpwa?
 
Week end inaruhusiwa mazee yale ya kula mkono kama kawa!
 
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!

Ha ha ha ha ha!....LOL! Sasa Mkuu Masanilo unataka aoge naye siku yake ya kuoga haijafika!? Ha ha ha ha
 
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!

Masa hii lugha ya generalisation inakaa kibaguzi, sio wazungu wote ni wachafu, wako wanaooga, ni yaleyale ya kusema waisilamu wote ni magaidi ama weusi ni mbumbumbu.
 
ila ni kweli wazungu wengi hawaogi wao ni kujiweka mipafyumu tu wengine hata mswaki kazi wakiamkia mikahawa tu.
 
Masa hii lugha ya generalisation inakaa kibaguzi, sio wazungu wote ni wachafu, wako wanaooga, ni yaleyale ya kusema waisilamu wote ni magaidi ama weusi ni mbumbumbu.

Hapana mkuu nazungumzia uzoefu! walio wengi ni hivyo, alikuwa ananishangaa kwanini naoga kila siku nataka kuwa mzungu kama yeye? uliza wanaoishi na wazungu ndugu! Umeenda mbali kule uislam na weusi kwenye IQs
 
Hahahaha umenikumbusha mkuu yule mchina niliye mega wkt napandisha mori si nikapima oil mzee kidole kilinuka balaa mpaka nilishindwa kula hawa usafi hakuna nasikia hata wahindi nao hivyo hivyo hawasafishi kabisa.
Kumbe na sisi waswazi ni maracist! mburaaaa!
 
Masa hii lugha ya generalisation inakaa kibaguzi, sio wazungu wote ni wachafu, wako wanaooga, ni yaleyale ya kusema waisilamu wote ni magaidi ama weusi ni mbumbumbu.

Weusi wote vinuka mkojo na vikwapa....Lol
 
Back
Top Bottom