Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.mkuu
chunguza sana utagundua kuna watu 'hawaendi polisi au mahakamani'
au popote pale kushtaki...
ukiwaona huko ujue wanashitakiwa na sio kushitaki
sometimes in life we choose to be victims or not.....
wote wanaopigana barabarani au kuwapiga wake zao na waume zao
wangepelekwa kushitakiwa 'pangekuwa hapatoshi'
ukifuata sheria hata kumpiga mwanao ni kosa
kuongea matusi hadharani ni kosa
akili mu kichwa....