stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,826
- 22,936
Huyo jamaa pole yake maana hapo kuna hatari hata akawa na ki-mtu huko nje ana run nacho na kutumia ulevi wake kama njia ya kumtoka huyo mshikaji,imeshatokea ishu kama hiyo kwa jirani yangu kilichotokea ni kuwa mwanamke aliingia mkenge akatembea na jamaa ana ngoma na mwishowe yeye mwenyewe akaanza kutangulia mbele ya haki,bahati nzuri jamaa aliacha naye sex kitambo ndio ikawa salama yake.