Mke darasa la 7

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Habari zenu wapendwa MMU...naomba kujuzwa uzoefu (xperiensi) na mikakati kama mtu ana elimu ya juu kiasi amempenda na ameoa mwanamke elimu yake ndogo kama hiyo anaweza kumwendeleza vip ili apate VISION relative na yule mumeme japo kidogo! Ampeleke elimu ya jioni,polytechnics au Biashara?

Ushauri its serious!!!
 
Swali, anapenda kusoma? Maana unaweza mpleka mtu shule kumbe huko hayuko.
 
Kaka, sio mwanaume tu anaweza kusomesha mkewe, nimeshuhudia mwanamke kasomesha mumewe na wako level moja sasa na maisha yanaendelea. Muhimu zungumza nae, ujue interest zake ili umpeleke shule ya kumsaidia kuzipata. Siku hizi elimu ni backup tu, la msingi ni kuepuka utegemezi. Kwa hiyo kama ana interest ya kushona ama kupika usimuendeleze awe engineer! Kila la kheri.
 
thanx king'ast
 
duh ila ukimsomesha kaa ukijua vijana siku hz watundu so watakupigia...
tena sio stereotype as u said huyo shemeji akifika darasani atagundua ww huna lolote,
najua ss hv mpaka unafikiria kumsomesha ni mavitu unayopewa ila akipandisha kidato atagundua unamfuja...

mwache home asikilize taarabu.... vp ongeza elimu yako au love inakuchanganya
 
Habari zenu wapendwa MMU...naomba kujuzwa uzoefu (xperiensi) na mikakati kama mtu ana elimu ya juu kiasi amempenda na ameoa mwanamke elimu yake ndogo kama hiyo anaweza kumwendeleza vip ili apate VISION relative na yule mumeme japo kidogo! Ampeleke elimu ya jioni,polytechnics au Biashara?

Ushauri its serious!!!

Impossible, minimum qualifications for everything nowdays aje na FORM 4 certificate, meaning even Fm 4 Div 0 hafai kuolewa, coz they are vacuum minded, empty headed, dark brain, hamtaelewana kamwe, 7bu most of time ataona unamdharau kisa unamshauri vitu vingi or kumwelekeza mara nyingi so ataona unamwona wa chini, na mwanamke ukisha mtia anataka awe LEVEL MOJA NA WW, so ni ngumu mno, impossible, no humanity hapa, funguka uone ukweli, sasa hivi NDOA UWE NA CHETI MINIMUM FM4 . iwe umefaulu tena, i am out....
 
Mwanamke kama kaolewa na mtu msome hata yeye atataka kuwa msoma, wewe hujui wanawake wanapenda mashindano.

Yani mimi wife wangu siku zote anapenda kuona mimi na elimu ndogo kuliko yake ....Big up to my wife :biggrin:
 
form four kigezo cha mwanamke wa kuoa? Nadhani iyo ha-apply kwa wote...usitulazimishe
 
duh ila ukimsomesha kaa ukijua vijana siku hz watundu so watakupigia...
tena sio stereotype as u said huyo shemeji akifika darasani atagundua ww huna lolote,
najua ss hv mpaka unafikiria kumsomesha ni mavitu unayopewa ila akipandisha kidato atagundua unamfuja...

mwache home asikilize taarabu.... vp ongeza elimu yako au love inakuchanganya

kuna kitu kingine hapa..kama mwanamke alishindwa kuendelea sababu za kifedha? Au kifamilia? Vp hapo?
 
Impossible, minimum qualifications for everything nowdays aje na FORM 4 certificate, meaning even Fm 4 Div 0 hafai kuolewa, coz they are vacuum minded, empty headed, dark brain, hamtaelewana kamwe, 7bu most of time ataona unamdharau kisa unamshauri vitu vingi or kumwelekeza mara nyingi so ataona unamwona wa chini, na mwanamke ukisha mtia anataka awe LEVEL MOJA NA WW, so ni ngumu mno, impossible, no humanity hapa, funguka uone ukweli, sasa hivi NDOA UWE NA CHETI MINIMUM FM4 . iwe umefaulu tena, i am out....

alafu presidaa huo ni ubagudhi...
 
Mwanamke kama kaolewa na mtu msome hata yeye atataka kuwa msoma, wewe hujui wanawake wanapenda mashindano.

Yani mimi wife wangu siku zote anapenda kuona mimi na elimu ndogo kuliko yake ....Big up to my wife :biggrin:

then tufanye ma-bizinesi tu asisome?
 
Hilo rahisi endapo yenye mwenyewe yuko tayari kujiendeleza kimasomo japo apate ufahamu wa mambu muhimu zaidi ya kujiendeleza kama kazi au biashara.

Pia itategemea kama anauellewwa wa haraka.
 
Kamwe siwezi kumsomesha mwanamke ambaye ni mpenzi wangu,
ni sawa na kumuotesha mbawa ili akukimbie na amekukubali kutokana na uduni wake,
pia kwa badae ataona unamfatilia kwa kuwa umemsomesha,
zaidi ataona umetumia umaskini wake wa kutokuwa na pesa za kujilipia kumpata,
wanaliwa sana hawa watu huko mashuleni/vyuoni,
 
Kusoma sometimes ni access japokuwa siyo kama zamani, hebu jiridhishe kuhusu uelewa wake ili uweze kufanya conclusion kama ukitaka kumuendeleza au mkija kuzaa mambo yakakuwa siyo mabaya.
 
hata nikimwendeleza haifiki level hizo mkuu...tunampiga brash tu ya mambo madogo madogo
 
Kusoma sometimes ni access japokuwa siyo kama zamani, hebu jiridhishe kuhusu uelewa wake ili uweze kufanya conclusion kama ukitaka kumuendeleza au mkija kuzaa mambo yakakuwa siyo mabaya.

well said
 
then tufanye ma-bizinesi tu asisome?
Sasa vipi ukimbilie bussiness bila yeye kusoma, inabidi wewe umsomeshe kwanza...afu mbona wengi tu wake zao wameishia la saba na wameisha chukua mpaa ma master degree sababu walijiendeleza, hata yeye anaweza kufika huko.
 
Back
Top Bottom