Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,873
- 20,243
- Thread starter
- #101
Naona unanilaumu bila kunionesha njia ya kupitia?Mdogo wangu Billie kazi unayo,nasikitika na inasikitisha kwa huu ukweli nitakueleza hapa,umejichagulia njia mbaya sana kwenye safari ya maisha yako.mara nyingi wanaume tunapoowa huamini kwamba tumepata partner wa ku-share nao maisha pale tumetoka kwenye mihangaiko huku vichwa vikiwa vizito,nikuulize....ukirudi kutoka kazini ni nani anayekupa taarifa za wanao kwa usahihi?au unakaa nao mmoja mmoja kuwasikiliza?au unazipata kutoka kwa dada wa nyumbani...je unaamini huwa zinakuwa sahihi?
Kama juzi,juma lililopita mimi haya mambo nilikuwa siyaamini ila imetokea kwa jirani yangu houseboy kawapiga mtungo sijui wenyewe vijana mnaita threesome ila kwenye hii scene ni twosome maana alikuwa anapigwa housegirl kisha bint wa hii familia aged 11 kisa wazazi 14Hrs/6days wanakimbizana na maisha,jamaa kamuharibu mtoto nyuma na mbele kanaulizwa kanasema dada na kaka walikuwa wanatisha wataniuwa nikisema na ilijulikana kupitia kwa mtoto wa jirani baada ya kusahau kufunga geti kubwa akaingia mpaka sebuleni akakuta huu uchafu unafanyika
Hivi wanaume wa kisasa tunaanzisha kizazi cha aina gani?kwa nini mnayakimbia majukumu yenu kwa kutaka wake zenu wawasaidie maisha?hatukatai mke afanye kazi ila jitahidi iwe kazi ya familia ili kwamba awe huru kusimamia nyumba kwa ukaribu sasa wewe mkeo anasafiri anakuachia nyumba hivi hii ina-make sense kweli mkuu?na badala utumie mamlaka yako kuliweka sawa hili unakuja JF kulia,unadhani kuna atakaejali?kama muislam umepona ila kama mkristo na hizi ndoa za mpaka mmoja afe basi wewe umekwisha.
Nisamehe....hakuna namna nyengine ya kukueleza zaidi ya hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushauri ila zingatia haya yafuatayo:
1.Nimefunga nae ndoa ya Kikatoliki
2.Ni mtumishi mwenye kuamini ajira ni kinga kwenye maisha yake
3.Tumezaa nae watoto wawili
4.Mzuri/mweupe (Humtishi kumuacha na akatishika
5.Tuna nyumba na lodge japokuwa nimejenga kwa hela zangu
6.Nampenda sana mpaka yeye anajua
KARIBU TUSHAURIANE ,TUSILAUMIANE