Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...