MKE Ana Tamaa!

duh! pole zako kaka, hapo huna wife sali sana maana mwanamke akiwaza hivyo ni sawa na mwanaume awaze kuwa na mtoto? ila usijali Mungu atakusaidia
 
Hapo ndipo mie Baadhi ya mambo yananishinda,Yaani wewe ni mke wangu,nyumba ninayo na tunaishi wote humo ndani ,.halafu yanaanza mambo eti nimnunulie wife nyumba yake?Does it make sense?kuna haja gani iwapo tunaishi pamoja,.mwanamke afikirie future yake ,ndio nimnunulie nyumba?future gani tena kama sio tamaa?Kazo mengine lol.
Kwani unajuaje kama utaishi sikuzote? ukifa nani atarithi hiyo nyumba? kama mkeo then its ok kama kuna ndugu na wazee ambao wanaweza kurithi nyumba yako kwa hiyo inabidi mkeo afukuzwe kwenye nyumba... and if i am in that women shoes then I will worry to be honest... na kama unampenda mke wako haina haja yakutia wasiwasi eti atakuacha... kwani hujiamini? unadhani akitaka kukukimbia atashindwa?

Yes it make sense... hivi kwanini watu wana waandikia watoto wao nyumba? kwa ajili wasije kudhalilika baadae? ....in doing that u will secure her life too... kamnunulie mkeo nyumba acha kubania tuhela baba....
 
kama amemkuta nayo bwana ni ngumu kubadili,na kama mmechuma wote hapo kukata mzizi wa fitina ni kuandika majina ya watoto 2 mchezo unaishia hapo.
 
Kwani unajuaje kama utaishi sikuzote? ukifa nani atarithi hiyo nyumba? kama mkeo then its ok kama kuna ndugu na wazee ambao wanaweza kurithi nyumba yako kwa hiyo inabidi mkeo afukuzwe kwenye nyumba... and if i am in that women shoes then I will worry to be honest... na kama unampenda mke wako haina haja yakutia wasiwasi eti atakuacha... kwani hujiamini? unadhani akitaka kukukimbia atashindwa?

Yes it make sense... hivi kwanini watu wana waandikia watoto wao nyumba? kwa ajili wasije kudhalilika baadae? ....in doing that u will secure her life too... kamnunulie mkeo nyumba acha kubania tuhela baba....

sayansi inasemaga wanawake wanakufa mapema, ukifa wewe mwanzo je na kajumba nishakuandikiaga? nikalale wapi? eeeh!(naombaga jibu in inglishi plizi) kwanza mwanamke kajumba ka nini? nikifa si utaolewaga na kapedeshee kengine katakuweka kwenye nyumba bana , wanasemaga "mwanamke mlembo hadodi"

acha nilog auti , (baskeli imepasuka mpira nawahi kwa fundi)
 
Pole sana!
Lakini kwa maoni yangu inategemea mna NDOA ya miyaka mingapi?? Kama haina muda mrefu basi huyo ni tamaa ya mali. Kama Ndoa ina muda mrefu labda anaogopoa kuhusu maisha ya hapo baadaye. Unatakiwa kumuuliza hiyo hoja ya kuandika nyumba kwa jina lake limitokana na nini gfla hivyo...
 
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...

Kwani jamani kakosea wapi? si ndio yale mambo ya sie kwetu tunaoana wenyewe kwa wenyewe? Baba kamwuoa mama, Babu kamwuoa Bibi, Mjomba na shangazi hahahahahha huyo dada hajatulia ah

Ila nikwambieni kitu dunia ya sasa haiaminiki kabisa. Last month nimeshuhudia family friends wetu wazazi wale wawili, baba keshastaafu kabisa muda tu amemfukuza mkewe waliyezaa nae watoto wakubwa kabisa na mama kaondoka bila hata kisoda ah. Kwa kweli hii imenifanya niwa na second thought juu ya maisha ya ndoa. IT IS A TRUE STORY jamani. Nimeumia as if mie ndo nimetalikiwa (tena kisa basi hata hakieleweki baba anasema tu mie simtaki!! Imagine over 30 years ya ndoa!! Mama kainvest hewani.

But ningemshauri huyo mdada asing'ang'anie kile alichochuma mume sana sana apiganie viandikwe majina ya watoto wao na yeye ajiwekee akiba hukooooooooo. NDIO AINVEST (kwa pesa yake ) KWA SIRI. HAKUNA IMANI TENA NA HII INSTITUTION.

JIONI NJEMA
 
jamani haya mambo linapokuja swala la ndugu upande wa mme kumtimua mjane baada ya kuondokewa na mmmewe inabidi muwe mnafikiria mara mbili kama ikitokea kwa bahati mbaya umemuacha mwenzio duniani bila misimamo maalum Ni tatizo..
Lakini huyo mama mie sijui kwa nini anataka urithi wa nyumba fasta fasta hivyo...?
 
sayansi inasemaga wanawake wanakufa mapema, ukifa wewe mwanzo je na kajumba nishakuandikiaga? nikalale wapi? eeeh!(naombaga jibu in inglishi plizi) kwanza mwanamke kajumba ka nini? nikifa si utaolewaga na kapedeshee kengine katakuweka kwenye nyumba bana , wanasemaga "mwanamke mlembo hadodi"

acha nilog auti , (baskeli imepasuka mpira nawahi kwa fundi)

its oposite?!
 
Niseme kwamba sijui nia/dhamira ya mwanamke huyu kuomba nyumba iandikwe kwa jina lake. Hata hivyo sababu aliyotoa kuwa nyumbani kwao alikuwa amezoea baba yake anafanya hivyo haitoshi kufanya hiki anachotaka sasa.

Lakini inawezekana iko ajenda nyingine iliyojificha ambayo ndiyo huenda inamsukuma kuomba hivyo. Kwa uzoefu wa miaka kama kumi ya ndoa sasa nimegundua kuwa inawezekana kabisa ndugu wa mme wakati mwingine wakamchukia mke aliyeolewa na ndugu yao kwa kiwango kikubwa. Mpaka kufikia mahali ambapo kama mme akimaliza safari ya hapa duniani(kuaga dunia) inawezekana wakamnyang'anya mjane kila mali iliyokuwa ya ndugu yao. Katika hali hii inawezekana mali anayoweza kubaki nayo mjane ni ile tu ambayo huenda itakuwa kwa jina lake.

Sijui sheria ya ndoa inasemaje kwa sasa lakini hata mimi ninaumia pale ambapo mme anapoaga dunia mjane ananyan'ganywa kila kitu as if yeye na mme wake hawakuwa kitu kimoja.
 
kwa kuongezea yote mazuri mliyoandika naomba niandike kuwa hata tabia za wanandoa wa siku hizi zimebadilika- mambo hayatabiriki ile dhana ya hadi kifo kitutenganishe siku hizi haina nguvu kiviiiile na ndio maana tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika hii yote inapelekea wanandoa kukaa kimachale machale mguu mmoja ndani mwingine nje. Nasema wote kwa kuwa- kama ni mapenzi huyu baba hakuwa na haja ya kusubiri kuambiwa abadili jina la hati ya nyumba. kama hali ingekuwa inaeleweka ni wazi kwa mapenzi alonayo kwa familia yake angebadili na kuweka iwe mali ya wote lakini kitendo cha yeye kuendelea kuwa na mali yenye jina lake ina maana naye bado ana kajiubinafsi flani ambako kwa sababu anazozijua yeye bado ameendelea kuwa nacho.

nakumbuka rafiki yangu wa kike alikuwa na gari ambayo ilikuwa imenunuliwa na mumewe (but kwa mkopo wa mama) na gari hiyo ikaandikwa jina la mdogo wake mama ambaye aliwagaia exemption yake. Baada ya muda ile gari Mr akaamua kuiuza ila kwa makubaliano kuwa anataka amnunulie mkewe gari ya kutembelea- (huyo Mr naye analo gari lake-kwa jina lake) sasa after kununua ile gari ya wife akaandika jina lake Mr- bila kuweka Mr and Mrs wala jina la mtoto!! Kama una mke mwenye kufikiria mbali ni lazima ataona ubinafsi hapo.

So mimi simlaumu kabisa huyu mama ila namshauri tu atafute vya kwake- hivyo vya mumewe afight viwe mali ya wana wao.
 
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...

Duh pole sana hapo huna mke bali Mjasiliamali. Mawazo na akili yote vipo kwenye mali na si ubinadamu. Naamaini ni mke wa ndoa, kama ni mke wa ndoa sheria inaamuru malizote baada ya ndoa zinakuwa ni za pamoja hakuna cha mimi nilikuwa na hiki au kile. Kwa hiyo hata kama utaandika jina lake ni kazi bure kwa sababu sheria bado inasimama hiyo ni mali ya wote!
 
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...

Mbona hapo rahisi, may be anawasiwasi na future yake pale atakapoambiwa leo hii haupo tena. Kama unaelewa mambo ya mirathi basi mridhishe mwenzio usibaddili jina la nyumba kuwa lake bali unaweza kuandika wosia incase ukafa leo basi yy ndio mrithi wako kama hamna watoto lakini kama wapo waandike watoto wako maana mama anaweza kuolewa tena
 
hii yote inapelekea wanandoa kukaa kimachale machale mguu mmoja ndani mwingine nje. Nasema wote kwa kuwa- kama ni mapenzi huyu baba hakuwa na haja ya kusubiri kuambiwa abadili jina la hati ya nyumba. kama hali ingekuwa inaeleweka ni wazi kwa mapenzi alonayo kwa familia yake angebadili na kuweka iwe mali ya wote lakini kitendo cha yeye kuendelea kuwa na mali yenye jina lake ina maana naye bado ana kajiubinafsi flani ambako kwa sababu anazozijua yeye bado ameendelea kuwa nacho.

asante,,,
na hamtakuja kuwaelewa wanawake wenye kuona mbali kwa nia nzuri,mali ni ya wote
na sheria inasema wether ulikuanayo kabla ya ndoa,ukishaingia tu ni ya wote
jua tu jinsi ya kupambana na wezi
 
na kama kwenye ndoa mali ni ya wote kwann mke atake jina liandikwe lake si ubinafsi pia huo?
 
sayansi inasemaga wanawake wanakufa mapema, ukifa wewe mwanzo je na kajumba nishakuandikiaga? nikalale wapi? eeeh!(naombaga jibu in inglishi plizi) kwanza mwanamke kajumba ka nini? nikifa si utaolewaga na kapedeshee kengine katakuweka kwenye nyumba bana , wanasemaga "mwanamke mlembo hadodi"

acha nilog auti , (baskeli imepasuka mpira nawahi kwa fundi)
haha klorokwin sasa ntabishana na nani ukisha log out... ? kazibe tairi halafu uje tubishane...
 
Kwani jamani kakosea wapi? si ndio yale mambo ya sie kwetu tunaoana wenyewe kwa wenyewe? Baba kamwuoa mama, Babu kamwuoa Bibi, Mjomba na shangazi hahahahahha huyo dada hajatulia ah

Ila nikwambieni kitu dunia ya sasa haiaminiki kabisa. Last month nimeshuhudia family friends wetu wazazi wale wawili, baba keshastaafu kabisa muda tu amemfukuza mkewe waliyezaa nae watoto wakubwa kabisa na mama kaondoka bila hata kisoda ah. Kwa kweli hii imenifanya niwa na second thought juu ya maisha ya ndoa. IT IS A TRUE STORY jamani. Nimeumia as if mie ndo nimetalikiwa (tena kisa basi hata hakieleweki baba anasema tu mie simtaki!! Imagine over 30 years ya ndoa!! Mama kainvest hewani.

But ningemshauri huyo mdada asing'ang'anie kile alichochuma mume sana sana apiganie viandikwe majina ya watoto wao na yeye ajiwekee akiba hukooooooooo. NDIO AINVEST (kwa pesa yake ) KWA SIRI. HAKUNA IMANI TENA NA HII INSTITUTION.

JIONI NJEMA

hapo ndio watu wanatakiwa wawe makini kuanzia mwanzo, ndio mana naona vitu vinavyochumwa viandikwe majina ya watoto tu, mengineyo mtu aandike jina lake, mweh cna imani na hawa viumbe mie, halizwi mtu hapa.
 
na kama kwenye ndoa mali ni ya wote kwann mke atake jina liandikwe lake si ubinafsi pia huo?
Ndio maana tunasema kuna kilichomtrigger mama huyu kudai hivyo!! Kwa nini tangu mwanzo Mr asibadili aweke la wote au hata mtoto kama wanaye??? Tuone kama mama angedai litolewe lile la Mr and Mrs au la mwanae liwekwe la kwake? Kwa kweli sometimes tunajitega wenyewe.......... Mimi sielewi mwanaume anapojiona yeye ana haki ya kumiliki kitu ila mkewe hana. Yaani swali tungemwuliza huyu mtoa mada amedai mkewe anadai nyumba iandikwe jina lake na je kwa nini yeye mpaka sasa hivi keshaoa bado ana vitu vyenye jina lake tu as if yeye yuko single???

Mtsema kwa kuwa yeye ni kichwa cha familia, hatukatai but kutokana na mienendo na matukio ya wanandoa wa siku hizi- mi I dont buy such sh...t. Otherwise na mie pesa yangu itumikayo kwa vitu vya maendeleo ya familia lazima niiandikie risiti yenye jina langu na nizihifandhi amah!! Kwa kesi hii hati ya nyumba ni ya Mr kwa vile nilimkuta nayo sawa but kila expense nitakayoincur katika nyumba yake naandikia risiti- nimenuinua bulb - risit, nimenunua maua- risit, chumvi -risit mpaka toilet paper - risit- yes bila hivyo vitu nyumba si ingeshakuwa gofu??.
 
hapo ndio watu wanatakiwa wawe makini kuanzia mwanzo, ndio mana naona vitu vinavyochumwa viandikwe majina ya watoto tu, mengineyo mtu aandike jina lake, mweh cna imani na hawa viumbe mie, halizwi mtu hapa.
Ndio hapo sasa dada tukiwa makini toka mwanzo tunaambiwa tuko materialistics zaidi. Mie haya maisha ah nimeyanyanyulia mikono na miguu juu- I salute it kwa kweli.

Yes majina ya watoto ni njia salama but sometimes bana mi naona kama kujirudisha tu nyuma- kama tumechuma wote tuweke majina yetu wote wawili kwanza and kwenye mirathi ni watoto- Wakikua watajitafutia ya kwao. Unajua unawezaandika jina la mwanao sawa--- haya mnakorofishana na baba mtu mtoto keshakuwa mkubwa ule umri ambao anaruhusiwa kulelewa na babake - baba anamchukua, bado kutakuwa na tatizo maana mali zitakuwa kwa baba bado au ?? maana hata sheria katika hili sioni faida yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom