Mkasa wa kusikitisha sana na tafsiri ya viongozi wetu-ubungo

watu wa msewe acheni kujaza huu uzi, pigeni kibiriti huyo Jaffary mambo yaishe. Kumbe mnajua sirikali ya CCM haiwezi kumfanya kitu. Fanyeni wenyewe (piga moto)
Mnakaa na jambazi halafu mnalalama tu.
 
niliwahi kukaa msewe nikisoma ud, jarrafy namjua sana.licha ya kula pesa za bomba la gesi,kutuhumiwa kuwa jambazi pia inasemekana kuwa sio raia! (na mimi nilimuangalia kwa macho ya kiadmiral nikari kuwa sio raia) Analindwa sana serikali ya ccm kwa kuwa ni wale wale.kwenye uchaguzi uliopita alishindwa na kamanda chesko lakini serikali ya magamba ikachakachua ushindi. mara ya mwisho kesi ilikuwa mahakamani chini ya kamanda lisu.sijui mambo yamekwendaje?
 
[watu walijaa na kuwakamata wale majangiri, afisa mtendaji wa eneo hilo bwana Jafari Nyaigesha akawa amefika na kuwaamuru watu wawe wapole, kweli watu walitulia na kuwachukuwa wale majambazi hadi ofisini kwa mtendaji, wakati wapo mle ndani watu walishikwa a butwaa baada ya wale majangili kumuita kwa jina bwana jafari! kumbe ni watu wanaojuana sijui kwa lipi lakini wanafahamiana.

watu walipoona hivo wakaanza kupiga kelele, kweli walienda kwenye gari na kutoa mizigo ya dada na pesa zote shilingi 40,000/= na kumrudishia yule dada, dereva alianza kudai yule ni mpenzi wake na wamegombana baadae wale majangiri waliagiza mafuta na kujaza kwenye gari, wakampa bwana Jafari sh 8,000.00 nayeye akanunua soda na kuwapa watu waliokuwepo ofisini na kuwomba yaishe huku dada akilia mithili ya mtoto mdogo kwani pamoja na maelezo yote aliyoyatoa hakuna aliyemjali

mwisho wa yote wale watu waliondoka kimchezomchezo tu huku mtendaji akiwaacha na kuwaomba watu waachane nao,
Huyu ni mtu anayeasume madaraka ya rais katika kata yake, ni mtu anayetakiwa kutekeleza sheria ya nchi, ni mtu anayetakiwa kushirikiana na polisi kuwasaka majambazi cha ajabu anashirikiana na majambazi kuwwangamiza raia wema wasiokuwa na hatia, John Mnyika haya mambo yamefanyika kwenye jimbo lako, naomba ufatilie huu mkasa, afande wa kanda maalum, naomba uingilie kati na umfatilie huyu mtendaji aseme hawa watu ni wa wapi na inawezekana ni kazi yao na wanampa fungu kwa ujangiri wao ambao unalindwa na ofisi za serrikali! wananchi wanaitafsiri vp serikali ambayo inaendeshwa kwa kodi zao?

Huyu mtendaji amekuwa kimbilio la majambazi na wahuni, anazo siri nyingi sana na akibanwa barabara atasema unless serikali iwe inajua na inasupport matendo yake!, nawasirisha]

MIMI NI MKAZI WA GOLANI - MSEWE HAPO UBUNGO. JAMANI HUYU JAFARI KASHINDIKANA, KAMA NI KUHONGA BASI KAFANIKIWA. JESHI LA POLISI LIPO MKONONI MWAKE. KAMA UNABISHA TEMBELEA VITUO VYOTE UNAVYOVIJUA VYA KINONDONI (CENTRAL SIJUI). ILA JAFARI TUMEMSHINDWA. AMEHUJUMU TENKI LA MAJI LA KIJIJI, AMEHONGA HADI WATU WA DAWASCO-KIMARA ILI WATU WA GOLANI TUSIPATE MAJI (DIWANI WETU KWA TIKETI YA CDM ANAJUA HILI). SISHANGAI KWA TAARIFA HII ULIYORIPOTI HAPA MKUU. SITABISHA HATA KIDOGO. JAFARI SIO MTU MWEMA, ANAIAIBISHA CCM, NA WASUBIRI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UJE. FUKUZIA MBALI!XYSFTRGE!!!!!!!!
 
Najiuliza tu swali moja...ni nini kinampa ujeuri huyu Jafari? Who is behind his being on that position?:mad:
 
Pole sana dada.

Lakini pia dada ana makosa. Kwanini alimkubalia dereva apakie abiria wengine,tena wanaume wawili hasiowafahamu?!? Kwanini pia akubali sababu ya dereva kwamba wakipanda abiria wengine,bei itapungua. Kwani huyo dada alimwambia dereva hana pesa ya kumlipa mpaka apunguziwe bei?!
Akisema kwamba bei ingepungua,hafahamukwamba vya bei nafuu ni gharama?

Ninampa pole dada,lakini pia liwe fundisho kwa akina dada wengine wanaokubali kupanda teksi na wanaume wasiowafahamu!
 
Kova hana cha kufanya hua anibuka na Bunduki za kwenye ghala akiona hana cha kushangaza umma na kusema wamezikamata huku Amezifumbata kwac mikono yote miwili, sasa sijui ushahidi wanatoa wapia kwa kushika silaha namna ile?

Kikulacho...........
 
Najiuliza tu swali moja...ni nini kinampa ujeuri huyu Jafari? Who is behind his being on that position?:mad:

Yuko kwanye ule mtandao mkuu wa mafisadi Tanzania. Tunashangaa wakati wa uchaguzi mwenyekigoda kinondoni (CCM), anasemekana alikatiwa M 3, Jina lake likarudishwa. Watafuteni wajumbe ya kamati ya siasa CCM, walimkoma huyu na karibu wote wamekimbia uongozi. Niwataje wegine?
 
Tena wananchi wa Msewe nasikia SoGas wanataka kusaini mkataba mpya na huyu jamaa, PCCB mfuatilieni.
 
Jamani ujambazi umezidi Msewe na kila ukipita watu wanalalama kuhusu huyu jamaa. Kuna tatizo la Polisi Mbezi, sasa hata ulinzi shirikishi unakwama, sijui ni makusudi?
 
[watu walijaa na kuwakamata wale majangiri, afisa mtendaji wa eneo hilo bwana Jafari Nyaigesha akawa amefika na kuwaamuru watu wawe wapole, kweli watu walitulia na kuwachukuwa wale majambazi hadi ofisini kwa mtendaji, wakati wapo mle ndani watu walishikwa a butwaa baada ya wale majangili kumuita kwa jina bwana jafari! kumbe ni watu wanaojuana sijui kwa lipi lakini wanafahamiana.

watu walipoona hivo wakaanza kupiga kelele, kweli walienda kwenye gari na kutoa mizigo ya dada na pesa zote shilingi 40,000/= na kumrudishia yule dada, dereva alianza kudai yule ni mpenzi wake na wamegombana baadae wale majangiri waliagiza mafuta na kujaza kwenye gari, wakampa bwana Jafari sh 8,000.00 nayeye akanunua soda na kuwapa watu waliokuwepo ofisini na kuwomba yaishe huku dada akilia mithili ya mtoto mdogo kwani pamoja na maelezo yote aliyoyatoa hakuna aliyemjali

mwisho wa yote wale watu waliondoka kimchezomchezo tu huku mtendaji akiwaacha na kuwaomba watu waachane nao,
Huyu ni mtu anayeasume madaraka ya rais katika kata yake, ni mtu anayetakiwa kutekeleza sheria ya nchi, ni mtu anayetakiwa kushirikiana na polisi kuwasaka majambazi cha ajabu anashirikiana na majambazi kuwwangamiza raia wema wasiokuwa na hatia, John Mnyika haya mambo yamefanyika kwenye jimbo lako, naomba ufatilie huu mkasa, afande wa kanda maalum, naomba uingilie kati na umfatilie huyu mtendaji aseme hawa watu ni wa wapi na inawezekana ni kazi yao na wanampa fungu kwa ujangiri wao ambao unalindwa na ofisi za serrikali! wananchi wanaitafsiri vp serikali ambayo inaendeshwa kwa kodi zao?

Huyu mtendaji amekuwa kimbilio la majambazi na wahuni, anazo siri nyingi sana na akibanwa barabara atasema unless serikali iwe inajua na inasupport matendo yake!, nawasirisha]

MIMI NI MKAZI WA GOLANI - MSEWE HAPO UBUNGO. JAMANI HUYU JAFARI KASHINDIKANA, KAMA NI KUHONGA BASI KAFANIKIWA. JESHI LA POLISI LIPO MKONONI MWAKE. KAMA UNABISHA TEMBELEA VITUO VYOTE UNAVYOVIJUA VYA KINONDONI (CENTRAL SIJUI). ILA JAFARI TUMEMSHINDWA. AMEHUJUMU TENKI LA MAJI LA KIJIJI, AMEHONGA HADI WATU WA DAWASCO-KIMARA ILI WATU WA GOLANI TUSIPATE MAJI (DIWANI WETU KWA TIKETI YA CDM ANAJUA HILI). SISHANGAI KWA TAARIFA HII ULIYORIPOTI HAPA MKUU. SITABISHA HATA KIDOGO. JAFARI SIO MTU MWEMA, ANAIAIBISHA CCM, NA WASUBIRI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UJE. FUKUZIA MBALI!XYSFTRGE!!!!!!!!

Sasa mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa, wangapi watakuwa wameumia, Labda mheshimiwa Saidi Mwema atuonee huruma tu, na uahakika anaweza kunyorosha huyu mtu. Hata risasi za juzi zinatokana na mgogoro wa ardhi, kaulize muasisi wa wa hii migogoro ni nani. ipo mingi. Kubambikiziwa makesi kama kawaida, hata hii familia ya aliyepigwa risasi juzi, wameteseka sana kwa sababu ya huyu jamaa.
 
Hivi huyu jamaa hajakamatwa? Maana sasa amepamba moto. Tutakula shaba jamani.
 
Huyu jamaa ni jambazi sugu aliyeingia madarakani kusimamia mtandao wa majambazi wenzake.
 
nchi yetu kamwe haiwezi kuendelea kwa kuwa na viongozi wa sampuli hii, tumekuwa tukihimiza utawala wa sheria na uwajibikaji

ni juzi kati wakati dada mmoja anatoka zake zanzibar, kafika bandarini dar es salaam, aliposhuka akaamua kukodi tex, wakati anaingia kwenye gari, dereva wa tax akazunga kutafuta abiria wengine ili wawe wengi na gharama zipungue kumbe dada wa watu anaingizwa mkenge! Baadae kama kawaida dereva aliwapata abiria wengine wawili wanaume ambao kimsingi walikuwa ni watu aliopanga nao kwa ajili ya kufanya unyama waliokuwa wameupanga!

Gari liliondoka na kuelekea kuelekea barabara ya alihasan mwinyi, dada alikuwa anaelekea makongo, gari lilipofika maeneo ya mlimani city wale abiria wawili wa nyuma walimbana dada ili asipige kelele na dereva akshika njia ya changanyikeni, walipofika lango la chuo njiapanda ya kuelekea msewe hadi baruti pale msituni walimtupa dada nje huku akiwa amenyanganywa kila kitu, mungu si athumani wakiti wanamtupa na kutokomea akatokea bodaboda, dada akaomba msaada wakaanza kulimimbiza gari, walilifata kwa kasi na kufika maeneo ya msewe primary gari liliishiwa mafuta na kuzima, bahati nzuri wakati linazima na yule dada na bodaboda wakawa wamefika na kuanza kupiga kelele

watu walijaa na kuwakamata wale majangiri, afisa mtendaji wa eneo hilo bwana jafari nyaigesha akawa amefika na kuwaamuru watu wawe wapole, kweli watu walitulia na kuwachukuwa wale majambazi hadi ofisini kwa mtendaji, wakati wapo mle ndani watu walishikwa a butwaa baada ya wale majangili kumuita kwa jina bwana jafari! Kumbe ni watu wanaojuana sijui kwa lipi lakini wanafahamiana.

Watu walipoona hivo wakaanza kupiga kelele, kweli walienda kwenye gari na kutoa mizigo ya dada na pesa zote shilingi 40,000/= na kumrudishia yule dada, dereva alianza kudai yule ni mpenzi wake na wamegombana baadae wale majangiri waliagiza mafuta na kujaza kwenye gari, wakampa bwana jafari sh 8,000.00 nayeye akanunua soda na kuwapa watu waliokuwepo ofisini na kuwomba yaishe huku dada akilia mithili ya mtoto mdogo kwani pamoja na maelezo yote aliyoyatoa hakuna aliyemjali

mwisho wa yote wale watu waliondoka kimchezomchezo tu huku mtendaji akiwaacha na kuwaomba watu waachane nao,
huyu ni mtu anayeasume madaraka ya rais katika kata yake, ni mtu anayetakiwa kutekeleza sheria ya nchi, ni mtu anayetakiwa kushirikiana na polisi kuwasaka majambazi cha ajabu anashirikiana na majambazi kuwwangamiza raia wema wasiokuwa na hatia, john mnyika haya mambo yamefanyika kwenye jimbo lako, naomba ufatilie huu mkasa, afande wa kanda maalum, naomba uingilie kati na umfatilie huyu mtendaji aseme hawa watu ni wa wapi na inawezekana ni kazi yao na wanampa fungu kwa ujangiri wao ambao unalindwa na ofisi za serrikali! Wananchi wanaitafsiri vp serikali ambayo inaendeshwa kwa kodi zao?

Huyu mtendaji amekuwa kimbilio la majambazi na wahuni, anazo siri nyingi sana na akibanwa barabara atasema unless serikali iwe inajua na inasupport matendo yake!, nawasirisha

dhaifu!!!
 
its another silly

Huko ubungo Msewe pamekuwa mahala pabaya sana kuishi, haswa kwa yatima na wajane. Kwa sababu ya serikali ya Mtaa huo, ambao wanahusishwa na uporaji wa viwanja na kugombanisha watu. Familia zilizoathirika au kukoswakoswa:
Manya (Na shaba zimetumika)
Diki
Baguma
Mganda
Paisi
Na nyingine nyingi
Esta

wanaojua watakuongezea. sasa Mhe Mbunge, watu wamechoka. Hizi habari zinahitaji uchunguzi wa kina bila kuonea mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom