Mkapa: Kuhoji uhalali wa Rais Pierre Nkuruzinza ni wehu

kwa aina hii ya viongozi Africa haiwezi kupiga hatua.
Upuuzi wote ule uliofanyika Burundi na dunia nzima inaona , ila yeye anashangilia_Aibu hii kwa waafrica wote.
 
Mimi sijaona jazba kwenye hiyo video uliyo iweka, isitoshe ndivyo anavyoongea Mkapa akiwa anajenga hoja (anazungumza kwa msisitizo)-katafute hata video za midahalo aliyo alikwaga (either katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili) utaona ni staili hiyo hiyo.


Hiyo staili siyo applicable kwenye mgogoro sensitive kama huo. Huko ni kucheza na maisha ya mamilioni ya watu, watoto, wamama, viajana na wazee. Hiyo staili ingefaa kusuluhisha migogoro sokoni tena ukiwa umevua shati tayari kwa masumbwi.
Inatubidi tukiri tu kwamba inasikitisha? Huko siyo kusuluhisha!!!!
 
kwa aina hii ya viongozi Africa haiwezi kupiga hatua.
Upuuzi wote ule uliofanyika Burundi na dunia nzima inaona , ila yeye anashangilia_Aibu hii kwa waafrica wote.
wapo wakina trump lakini kwa maendeleo binafsi amepiga hatua labda kama utakuwa una hoja zaidi ktk maandish yako
 
Ni kweli kabisa,watu waliandika wao ,wakakubaliana.Rais atachaguliwa na kura za wananchi kwa kipindi cha miaka mitano na ukomo wa URAIS NI MIAKA KUMI.JE NKURUNZINZA ALICHAGULIWA NA WANANCHI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA KWANZA?
 
Hiyo staili siyo applicable kwenye mgogoro sensitive kama huo. Huko ni kucheza na maisha ya mamilioni ya watu, watoto, wamama, viajana na wazee. Hiyo staili ingefaa kusuluhisha migogoro sokoni tena ukiwa umevua shati tayari kwa masumbwi.
Inatubidi tukiri tu kwamba inasikitisha? Huko siyo kusuluhisha!!!!
Nkurunzinza ni mbabe hivyo ukienda ongea na wababe lazima na wewe uwe mbabe... ni muhimu kuendana na style ya mziki kama ni hip hop ni lazima na wew ukaze kama ni blus basi nawe pita humo humo
 
Kweli Bamia Inaharibika Ukubwani
Kweli Kabisa huyu Mh Mkapa ni BAMIA !!!
Ujue huyu Mh anasifa ya UBINAFSI NA UNAFIKI sasa kwa kiongozi kama yeye kuwa na tabia hizo ni hatari!
kwani hawezi kuchagua maneno ya ki diplomasia au anona raha damu za watu zinavyomwagika.
zaidi ya kingereza chake anachojivunia kiu kweli Hamna kitu.......hayati baba wa taifa nadhani lazima alijuta sana kumpa nchi, nani asiye jua mambo yanayoendelea Burundi??
 
Mimi hadi sasa huwa sielewi kabisa kauri za mkapa raisi niliyekuwa namhusudu na kumpenda. Huwa najiuliza kweli huwa anashindwa kutafuta lugha nzuri tena yastaha mbele ya wenzake wenye mawazo tofauti?
Kwann uwaite mwenzako wendawazimu, watu wazima wenye akili zao? Je wewe kama msuruhishi unajiweka ktk mazingira gani ya kuaminika? Bado namtafakari huyu mzee...
JANGA LA TAIFA.
 
waburundio wenyewe ndio wanaotakiwa kumjua au kutomtambua na wala sio mabalozi .mgogoro uliopo ni wa watu wa burundi .hapo ni kukwepa majukumu yake .anataka njia ya mkato .
 
Afrika tumelogwa na aliyetuloga alaishakufa zamani, bahati mbaya hata kaburi lake hatujui lilipo huenda tungeenda kutambika
 
Kwa kauli kama hizo, watu wa Bara la Afrika, tunaziona kauli za Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kuwa atahakikisha anawadhibiti marais wote ving'ang'anizi, ambao wako tayari kuzibadili Katiba za nchi zao, ili mradi tu kuwafanya marais hao kuwa 'Life Presidents' kwenye nchi zao, kuwa kumbe Donald Trump yuko sahihi sana!
Trump anamshambulia Putin.
 
Africa Tuna Making kweli yaani mtu aliyeshinikiza kufutwa Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, Ati huyo ndiye awe msuluhishi wa Demokrasia na Usawa nchi nyingine!
 
Back
Top Bottom