Mkapa: Kuhoji uhalali wa Rais Pierre Nkuruzinza ni wehu

Mimi sijaona jazba kwenye hiyo video uliyo iweka, isitoshe ndivyo anavyoongea Mkapa akiwa anajenga hoja (anazungumza kwa msisitizo)-katafute hata video za midahalo aliyo alikwaga (either katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili) utaona ni staili hiyo hiyo.

Kweli hujaona jazba hapo basi wewe mwenyewe utakuwa Jazba. Ingawa nimependa kingereza chake kimenyooka haswa. We had a dude 1995-2005.
 
Ili uwe msuluhishi wa mgogoro wa aina yoyote ni lazima ujinyime upande ( usiwe biased). Na approach yako iwe ya kistaarabu even pitch sound yako isiwe ya juu Kama mwanakwaya. Dharau nayo isipewe nafasi moyoni na machoni pako. Vitu hivi muhimu mkapa anavikosa tangu mwanzo na hawezi kusuluhisha mgogoro manung'uniko yasionekane. Huenda aliyempa nafasi hiyo hakujua kuwa huyu ana mdomo mkubwa na maskio madogo badala ya kuwa na mdomo MDOGO na maskio makubwa kitu ambacho ni sifa kuu kwa conflict manager yoyote.
 
Ili uwe msuluhishi wa mgogoro wa aina yoyote ni lazima ujinyime upande ( usiwe biased). Na approach yako iwe ya kistaarabu even pitch sound yako isiwe ya juu Kama mwanakwaya. Dharau nayo isipewe nafasi moyoni na machoni pako. Vitu hivi muhimu mkapa anavikosa tangu mwanzo na hawezi kusuluhisha mgogoro manung'uniko yasionekane. Huenda aliyempa nafasi hiyo hakujua kuwa huyu ana mdomo mkubwa na maskio madogo badala ya kuwa na mdomo MDOGO na maskio makubwa kitu ambacho ni sifa kuu kwa conflict manager yoyote.

Natamani kuona wataalam wa diplomasia wa CHADEMA wakimfundisha BWM na wengine wote wasiojua mbinu za kusuluhisha migogoro namna ya kusuluhisha migogoro ya CHADEMA na UKAWA yote ili ZZK,Dr. Slaa na Pro. Lipumba wakae timu moja kuimarisha CHADEMA na UKAWA.
Timu ya wataalam hawa wa diplomasia wakifanikisha hili tutaomba wakatuwakilishe kusuluhisha migogoro nje ya nchi yetu.
 
Lugha hiyo sio ya usuluhishi, ni ya kulazimisha mitazamo ambayo ndio kiini cha mgogoro.
Kenya pia alikataliwa wa mgogoro uliyotokea baada ya uchaguzi kutokana lugha za aina hii hii.
1. Narudia hakuna cha ajabu kwenye hiyo press conference, na uzuri niliiona yote kupitia TV ya Burundi, na tukienda kwenye hoja yake nayo inamashiko hasa, na uzuri wa Mkapa huuchana kila upande, ni majuzi tu alitoka kuuchana upande wa serikari baada ya kuweka kizingiti cha kutokuwa tayari kukaa meza moja na wakora/upinzani/waasi kisa ndio wanao vuruga usalama, aliwambia watu wa serikari waziwazi kuwa kama hawataki kukaa meza moja na wapinzania basi haoini sababu ya kuendelea kufanya usuluhishi/upatanishi.
2. Pia Kenya hawakumkataa sema tu Kenya kulikuwa kuna utitili wa wasuruhishi (Mkapa, JK, Umoja wa Afrika mara Serikari ya Marekani-Condoleeza Rice)
3. Mwisho, Watanzania wenzangu swala la usuluhishi msilichukulie kama ni ufahari kwa Mkapa au vipi, ni kujitolea tu baada ya kufikwa na huruma kwa hali waliyo nayo wa Burundi.
 
Watanzania waliitwa Malofa na wapumbavu, Sasa ni zamu ya Warundi, wao wamekuwa Wehu. Sasa ninasubiri kujua na watu wa mataifa mengine watapewa majina gani.
 
hapendi
Huyu Mzee anazeeka vibaya, ni bora akae kimya badala ya kuongea pumba.
kuyumbisha maneno/ kupindisha maneno.... yupo direct, mtakula nyasi ndege ya rais itanunuliwa.... ndio viongozi tunao waitaji sio sound sound na kulia lia na uongo uongo na maneno ya kinafiki....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watanzania wana wivu sana wakiona mtu tajiri wanadhani ni mwizi. Kumbe kweli alikuwa anatuibia! Watanzania si wehu.

hapendi

kuyumbisha maneno/ kupindisha maneno.... yupo direct, mtakula nyasi ndege ya rais itanunuliwa.... ndio viongozi tunao waitaji sio sound sound na kulia lia na uongo uongo na maneno ya kinafiki....
 
yaani waandishi wa habari wananiona nimepewa tofali la dhahabu kupiga nalo picha tu wanaandika ohh raisi kahongwa dhahabu ohh sijui nini na nini! Looo! wandishi gani wa habari nyinyi!

Na wale wote wanodhani Tanzania haijakombolewa na wanahitaji kuikomboa ni wapumbavu na malofa!!

Na wale wote waohoji uhalali wa utawala wa Nkurunziza ni wendawazimu!!!

Nimejifunza kuwa kunatatizo katika kichwa cha mwanadiplomasia huyo!

lakini naona aki handle suala la Burundi kama anavyohandle issue ya Zanzibar kwa remote, kakwama tayari. Issue ya Burundi saizi yake ilikuwa Mwl. Nyerere na Mzee Mandela.

Kuiokoa Burundi naomba kazi hii apewe Koffi Anan au Thabo Mbeki.
wewe ndio ume kwama mzee... ni vigumu kumuondoa mtu ambaye tayari ameshashika madaraka... kwanza muandishi kanjanja waliokuwa wanapokea maelezo walitakiwa wahoji kwa kina yaliyojili na maamuzi au maafikiano, kujadili kauli ya mjinga tu... sizani kama ni sahihi but kama wewe ni mjinga lazima tukupe haki yako kuwa wewe tukutambue mjinga, kama ni mwerevu pia tufanye vivyo hivyo.... kwanini tuna kwepa hali halisi...
 
Back
Top Bottom