Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,657
- 19,635
Ndiyo nawafahamu hao, nimetaja baadhi yao tu na kumaliza kwa kusema na wengineo, wote walihusika sana na criminal law. Hizi taaluma nyingine hazikuwa na soko sana; Mkono pia hakuwa na soko katika taaluma yake ya Business Law.Kichuguu.
Acha kupanic tunaelimishana tu. Mawakili maarufu walikuwa Murtaza Lakha na ndugu yake Abbas Lakha,Kwikwima hawa walikuwa miaka ya 80.
MKONO alipewa tenda nyingi za serikali kwa nguvu za Nyerere, hilo halina ubishi.
Thibitisha maneno yako. Nyerere aliondoka madarakani mwaka 1985, ubinafasishaji ulianza kwa nguvu sana mwaka 1990, na ndipo Mkono alipoanza kupata utajiri, na kapata utajiri zaidi kwenye mikataba iliyosainiwa baada ya Nyerere kufariki. Nyerere aliingiaje pale.
Umesema mwanasheria mkuu wa kwanza wa Zanzibar alikuwa Mghana.Mzee JUMBE alikuwa na mtu wa sheria toka Ghana zaidi ya Dourado na hakuwa muislam jee udini unaingiaje hapo? huyo bwana alimuwekea wazi mapungufu ya katiba kisheria, alikuwa raia wa GHANA