KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
tatizo kuwachukulia hawa kina NAPE masiala kumbe wanatutumbukiza kwenye shimo la kinyesi si wa kuwachekea hawa mbuzi ikiwa madini,milima,misitu ardhi yenye rutuba bado tunaomba. Akili ya kujipaka carolite bakii na akili ya kulikomboa taifa baki yani vilongwa mbali vitendwa mbali. Mi naona bora tuvunje hivyo hivyo rekod ya kuombaomba kwa uzembe wenu kina mkapa na wenzenu mkapa si alisema ana imani na kikwete huyu?