Viongozi wa Serikali Wana nia ya kulitoa nchi kwenye umaskini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini?

Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi?

Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa wayagharamie kwa fedha zao binafsi?

Inawezekana hata wakati mwingine, wanapoenda kwa Wazungu kuomba misaada, hufikia hoteli za kifahari ambazo hata hao Wazungu watoa misaada hawazitumii. Aibu iliyoje! "Maskini" anaishi kifahari kuzidi tajiri!

Watu wa aina hiyo wana nia ya kuitoa nchi kwenye umaskini?

Naamini Tanzania ina Wazalendo wanaoitakia mema Tanzania, lakini sina uhakika kama watu wa aina hiyo wapo Serikalini! Sina uhakika!!!
 
Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini?

Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi...
Hapana hawana nia hiyo cz kwanza mtaji wao ni masikini na wasiokua na elimu!! Huu ni ukwel usiopingika.
 
Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini?

Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi?

Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa wayagharamie kwa fedha zao binafsi?

Inawezekana hata wakati mwingine, wanapoenda kwa Wazungu kuomba misaada, hufukia hoteli za kifahari ambazo hata hao Wazungu watoa misaada hawazitumii. Aibu iliyoje! "Maskini" anaishi kifahari kuzidi tajiri!

Watu wa aina hiyo wana nia ya kuitoa nchi kwenye umaskini?

Naamini Tanzania ina Wazalendo wanaoitakia mema Tanzania, lakini sina uhakika kama watu wa aina hiyo wapo Serikalini! Sina uhakika!!!
The difference between a Poor man and Rich man in making money is;A poorman saves money while a rich man invests!
 
Back
Top Bottom