Mkao wa wa Kupigwa Picha - Umependa Ipi Hapa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kuna mikao mingi mpigaji picha huwa wanakaa kwenye upigaji picha, je wewe umependa mkao gani hapa?

Numbe 1:
camera 1.jpg

Number 2:
camera 2.jpg

Number 3:
Camera 3.jpg
 
namba 2 ni bonda; hususani mpiga picha akiwa ni mwanamke inapendeza zaidi
 
kwenye hao wawili walio lala sasa huyo mmoja
aliye chuchumaa nae anapiga picha au anajichungulia?
 
Back
Top Bottom