GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Jana nilienda kwa hawa Simbatelecom nikakuta bei iko juu. Nikawauliza swali, sasa mnataka sisi tuuze shilingi ngapi? wakaniambia utajua wewe.nyie wauzaji ndo mlitakiwa mtoe angalizo kwa hayo makampuni ya simu.....ukinipa vocha imeandikwa 1000 sikupi zaidi ya hiyo ..........habari ndo hiyo...mnataka kuuza 1100 print vouchers with that amount on it(tusaidieni kufikisha ujumbe kwa maboss wenu)
Jamani mbona wakati mnanunua vocha ya sh. 1000 halafu unapata 1300 mbona hamkusema tunataka 1300 printed voucher?mnataka kuuza 1100 print vouchers with that amount on it
Hapo itakuwa vizuri zaidi, maana mtakuwa mmetupunguzia mzigoASANTE KWA TAARIFA TUTAENDA KUNUNU HUKO HUKO MNAKONUNUA. inawezekana kwa ufahamu wenu mnaenda kununua kwa wauzaji wa reja reja badala ya JUMLA, asante kwa TAARIFA, nitakuwa nanunua za wiki 3 kupunguza garama za kusafiri mpaka kwenye huduma
Wengi wamefanya hivyo lakini baada ya kuzungukazunguka huku na huko na kukuta bei ni hiyo hiyo wao wenyewe walirudi wenyewe kuchukua vocha kwa bei mpya.ukinipa vocha imeandikwa 1000 sikupi zaidi ya hiyo
hapo ni kazi ya mteja kusuka au kunyoa.