Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

[h=1][/h] Written by makame silima // 19/04/2014 // Habari // No comments


DSC_0413-564x272.jpg
Makamo wa Kwanza wa Serekali ilochaguliwa na watu wa Zanzibar SUK.
Mimi nitamuona -------- Sana Maalim Seif kushirikiswa katika sokomoko hili na yeye akakubali akakubali na akaja kuingia kichwa kichwa kwenye mtego huu ?. ccm watamtumilia halafu watumwe watoto wadogo ambao ni kama wajuu kuu zake Shaka na Sadifu Wamtukane na kumvunjia heshma katika majukwaa bila hata kukemewa na viongozi wao .
Pili yeye sio mjumbe wa Bunge la Katiba na swala hili linawahusu UKAWA zaidi kuliko yeye, Yeye ni Makamo wa kwanza wa Watu wa Zanzibar katika Serekali yao Walio ichagua, Uongozi wake wa makamo wa kwanza wa Raisi Zanzibar hauhusiani kabisa na maswala ya Muungano.
Ameshaguliwa na Watu wa Zanzibar kwa kura za maoni 68% na sio kura za Muungano , kwa hio maswala ya Muungano aulizwe Waziri asokua na wizara maalum Mh shein na Balozi wa Tanganyika Nchini Zanzibar/Mkazi wa Zanzibar.
Jee Wazanzibar mumesahau refrence zote za nyuma, hawa ccm sio waungwana na niwatu wenye sifa zote za Unafiki za kutokua wangwana,kwanza waongo,wabaguzi na wauwaji bali ya sifa mbaya nyengine.
Kama kweli hawa ccm wanaitakia mema Zanzibar na watu wake wangeweza, Mumeona ccm wanavyo tumia Ubaguzi wa kutugawa, huyu Mpemba,Huyu Muhindi,Huyu sultan ,Huyu Muarabu na wao kujipachika makabila ya Kihadimu na uafrika/ yani mentality yao nikua makabila hayo yote hawana haki hapa Zanzibar ni wao tu ndio wenye haki miliki ya nchi hii.
Na lakutisha zaidi hivi sasa ni viongozi wakuu wa ccm wanatumia Karata ya Uislamu na jumuia ya Maimamu Zanzibar (Uamsho) ili ku-pakaza sumu ulimwenguni kua Zanzibar ichuhulikieni kuna ugaidi hii yote ni chuki za ccm kwa sababu 99% ya watu wake zanzibar ni Waumini wa dini ya kislamu sasa Karata yao ya Mwisho kuomba huruma kwa nchi za mangaribi ni hio inayo tumiwa sasa.
Lakini mimi nawatahazarisha Ndugu zangu wa ccm Zanzibar akina mama na Baba wenye kulipigia debe hili la Karata ya uislamu ,hili likitokea adui kutuvamia kwa Uislamu wetu, Basi mujue na nyiyi hamutopata Salama, maana wamangaribi hawato chagua SHIA wala SUNNI hilo mulijuwe na hao maaduwi wa uislamu watakaa pembeni wawacheke.
Mh Lukuvi ,Mrema na hao wa huko Nyuma mumewasikia wakitoa kauli kali zidi ya Uislamu Zanzibar na hii ni agenda ya Kanisa likisaidiwa na viongozi wasio utakia mema Uislamu kwa karata ya kisiasa, sasa na nyiyi Ndugu zangu ccm wa Zanzibar mulijue hilo kua Kipanga anawanyemelea.
Kulikua na fununu huko nyuma lakini hivi sasa zinawezekana zikawa na ukweli fulani , kua Zanzibar imeshauria kuwa na uhusiano wa karibu na maduwi wa Uislamu na hili ni hao akina Lukuvi na wengine kutia sindikizo liwe hivyo ili mbeleni uhusiano huo uanze kazi zake na tumeshuhudia viongozi wetu kukumbadia nchi kazaa zenye kuwapiga vita waislamu ,sisi eti ndio rafiki zetu wazuri?.
Kwa hio hawa ccm sio hawa ni watu waongo na wasio jali aman na utulivu kama wangejali hayo basi wangeziweka chukurani zao kwa Mh Amani Karume na Maalim Seif pamoja na Tume ya Maridhiano ya Mzee wetu Hassan Nassor Moyo kwa jitihada zao na bidii zao na kufika hapa leo tulipo fika Wazanzibar(Alhamdulillah)tunamshukuru M/mungu kwa hapa tulipo leo.
Sasa angalia mazalim ccm wanavyo wazarau watu hawa na jitihada yao ya hapatulipo leo? Wazanzibar sio vipofu au viziwi kama hatuoni wala hatusikii ,tunajua mchele safi na Pumba, hawa kwa unafiki wao kila siku husema Amani na Utulivu tulio nao umetuharimu ume-tu-cost sana kwa hio tusijaribu kuipoteza Amani na utulivu tulio nayo?.
Sasa tujiulize wananchi ,juu yakua amani ilokuwepo wao viongozi akina Seif Iddi na shein wameikuta tu , Sasa nani mwenye kuibomoa hivi sasa?.
Tumechuhudia Sote katika Bunge la Katiba Jinsi ya Mijadala ya Ubaguzi zidi ya Wananchi wa Zanzibar wenye asili ya Kihindi,Kiarabu(Sultani)Wangazija na Wapemba, Hili la Wapemba ndio limeshikiwa hatamu kwa sababu Maalim Seif ni Mpemba kwa hio watu wote wenye asili ya Pemba ni Seif.
Huu ni ubaguzi wa hali ya juu kuwabagua watu kwa rangi zao au asili yao, lakuchukuru yote heri hio kila wakifanya hivyo ccm ndio kukibomoa chama chao na hata hao Wapemba Wahindi na warabu walomo ccm matusi yakizidi sizani kua wataweza kuvumilia itabidi mwisho wa mwsho wajitowe.
Tumeshuhudia hayo na kwetu ni faraja kubwa na furaha wao kila wakilenga matusi sisi ni mtaji kwetu maana ccm ikisha baki na hao wajitao Wahadimu,tutakita Chama cha Wahadimu?.
WAZO LANGU KWA MAALIM SEIF
Kama kweli Samuel Sita au viongozi wa Smz wanataka kuonana na Maalim Seif kuzungumza kuhusu Wajumbe kurudi kwenye Bunge la Katiba? Basi Wazo langu ni Bora Watumwe Sadif na Shaka wende wakaonane na Mzee Hassan Nassor Moyo na Timu yake ya Maridhiano ,Wamuashe Maalim Seif Mpemba Sultan,Muarabu, abumuwe.
Juhudi za kuwarejesha UKAWA bungeni zagonga mwamba - Mzalendo.net
ASHA BAKARI NA MAPINDUZI ya Zanzibar

Waungwana wana wa Zanzibar jee mumejitayarisha vipi na Uchaguzi wa 2015? kauli za ccm ni zile zile ali zo anza kuzisema Kidoge cha lami Dr Omari Ali Juma kua nchi haipatikani kwa vikaratasi(Kura) .sasa ikiwa kauli za Ubabe ni hizo bado tunategemea kuigomboa nchi hii kwa kuhilikichwa juani na kuchezea mabomu ya machozi na virungu huku , ccm hata wapate kura 2 hawatowi ?
Hili ni swala lazima tujiulize chakesho kupigwa hutarishwa leo? uchaguzi huo hapo na Mumemsikia Bi Asha Bakari kua nchi hatutowi kwa vikaratasi nilazima mupinduwe na kujikaza kua na uezo huo hamuna?, sasa kumjibu Bi Asha Bakari na Kumuhakikishia 2015 kua nchi tunaichukua tutamjibu vipi?
 
Hao waache kutupeleka wanavyotaka hiyo katiba siyo ya CCM wala CHADMA hivyo ni vizur hilo swala la serikali 3 au mbili tuletew wananchi ili tuliamue sisi. katiba ni ya wananchi kwa hiy kam tuliowatuma huko bungen wamshindwa bas watuachi 2wasaidie ili wao waendelee kujadi mambo mengin yeny maslah kwa taifa.
 
Safi sana! Wasilete utoto hapa, wako bungeni kuwakilisha wananchi na siyo interest zao za serikali 3, wasuse tu posho hakuna na katiba inakamilika kujitoa mnamkomoa nani? Watu tumezoea kuishi kwa amani na siyo vurugu na maandamano na kuwadanganya wananchi, khasidi hakosi sababu dawa yao ndiyo hii.

acha ushabiki wewe..... UKAWA wanatak maoni ya waTANZANIA yaliyokusanywa na jaji warioba yasikilizwe na kupewa kipaumbele kwa sababu katiba ni yao wananchi
 
Nakushauri ukitafute kitabu cha rasimu ya katiba ukisome kisha urudi tena hapa!
 
Simwamini aliyeanzisha uzi huu lakini kwa kuwa UKAWA wanataka ku sabotage juhudi hizi uaamuzi wa aina hiyo ni muhimu.kwanza yalikuwa makosa makubwa kuweka kikao cha 2/3
za wajumbe hata wasiohudhuria vikao
 
Mkuu hakuna machafuko yoyote yatakayotokea, wananchi hawana shida na muundo wa Muungano wa sasa! Wanachotaka ni kujikwamua tu kimaendeleo, only that! Mambo mengine mnawasingizia tu wananchi, waacheni wajishughulishe na kuongeza kipato jamani!

Huu sasa ni mwaka wa 50 lugha ni ile ile kujikwamua, nobody will take you seriously.
 
Acha vioja dogo hii nchi yetu sote usituletee vya kuleta hapa tunatuka katiba ya watanzania siyo yaukawa.
 
Safi sana! Wasilete utoto hapa, wako bungeni kuwakilisha wananchi na siyo interest zao za serikali 3, wasuse tu posho hakuna na katiba inakamilika kujitoa mnamkomoa nani? Watu tumezoea kuishi kwa amani na siyo vurugu na maandamano na kuwadanganya wananchi, khasidi hakosi sababu dawa yao ndiyo hii.[/QUOT

unakunjwa wewe.au mwehu.pole zako kama we ni mboga ya nepi na mgulu
 
Kura ya maoni!!!!!!!!! Hivi matokeo ya ubunge wa Kalenga na Chalinze yakoje??????????????? Mnatakiwa kujipanga haswa na si mchezo.

Majimbo yote mliyochukua ya vijijini hayawezi kulinganishwa na jimbo moja tu la Kawe, achilia mengine yaliyoshiba kama Arusha, Moshi, Mbeya,n.k
 
Tulishazoea na ccm na njama zao za udanganyifu lakini sasa wajue kuwa tuko makini kuliko maelezo! Wao wafanye wafanyavyo lkn wananchi sisi ndo final! Voting tu will show them that we're tired of their sweet lies!
 
Jamani ccm hawana aibu? Hata katiba ya vizazi na vizazi wanataka kuichakachua? This is now getting the worst!
 
Back
Top Bottom