Mjumbe wa NEC kuvua gamba mkutano wa CHADEMA READING, Kamati kuu ya CCM yakuna kumjadili ...picha

Status
Not open for further replies.
ila kweli jamaa mumekula kiapo cha kutunza siri kama makarani wa sensa duh !!! yaani hamthubutu japo kudokeza kidogo hilo jina
 
Wanaemjadili hatuwezi kumtaja kwa sasa ila nadhani watafanya press conference baada ya kikao hivyo watamuanika rasmi, nasikia wameamua kumuita oili chafu eti hawamtaki tena lakini najua taifa zima litatikisika sababu huyu ni mtu mkubwa sana anahamia Chadema. na magamba wanamuogopa sana

sasa kama hamuwezi kumtaja mmeanzisha thread ya nn? acheni kuzengua watu!
 
8D6U6455.jpg

MKUU UNAIFANANISHA NA HII YA MAY 2012, ILE NI YA LEO, NDIO STYLE YAO KIKAO CHA MAJINI

Hapa lazima ni ndani ya Ndege, na JK yupo.
 
aiseee baba yangu chilisosi nashukuru kwa kunihabarisha,,,kesho kapokee kidumu cha lita 5 cha mbege ubungu nitakituma na dar express yakwanza kutoka rombo

Mkuu Niko hapa ubungo nasubiria kidumu changu
 
Nikiziangalia karibu sura zote NEC ni nikutoka upande wa pili ambao unalalamikia nchi kuendeshwa na mfumo wa kikristo
Hiki ni kikosi kazi kinachopanga uedeshaji wa kila siku wa nchi hii inakuwaje wanashadadia mfumo kristo ilhali wao si wakristo?
 
sasa kama hamuwezi kumtaja mmeanzisha thread ya nn? acheni kuzengua watu!
wamekosa watu Mkutano wao wa london.sasa wanatafuta njia za kudanganya watu mara waseme wasomi wakati wasomi wenyewe wanabeba maboksi hapa reading kila mtu anajua.wanadanganya ASERI msomi wakati hana hata diploma.wamekuja na nyingine wana ambulance.wanataka Lema aanze vurugu arusha wakati si mbunge.
 
kuwa mvumilivu, tutamtaja leo hii
Chris Lukosi.
haifai kuwa muongo umewadanga watu kuwa kuna mwana NEC utakuwa nae hapa reading atajiunga chadema. wakati ukijua unadanganya.
umedanganya tena kuwa Lema atakuwa mkutano wa Reading hakuwepo.
ama kweli wewe ni mtu wa dili.kila jambo unakuja na uongo.unavunja cridibility ya chama chako na watu makini watajua ni nani wewe.kina ALEX wamejichanganya kudili na Mtu wa dili chris. tizameni uongo wake.
 
wamekosa watu Mkutano wao wa london.sasa wanatafuta njia za kudanganya watu mara waseme wasomi wakati wasomi wenyewe wanabeba maboksi hapa reading kila mtu anajua.wanadanganya ASERI msomi wakati hana hata diploma.wamekuja na nyingine wana ambulance.wanataka Lema aanze vurugu arusha wakati si mbunge.
Wamekimbia hata kujibu hoja zako. Aseri Katanga ni bogus jana kadhirisha hamna kitu.anatoa picha za JK eti wananchi tizameni nilipiga picha na rais kikwete ameona dili kubwa.angekuwa mtu makini angesema kuwa hivi ni vyeti vyangu.hana shule anapiga care na maboksi kama lusingu PhD yenye mashaka.
 
Nadhani sasa najua wewe ni nani,
Kwa nini jana umeongea na mimi kama ndugu yako halafu leo unanitukana hivi bila kosa?
Niombe msamaha, nakupa masaa 12 kama ukishindwa nakuumbua kwa sababu nina hadi picha niliZopiga nawe jana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom