Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM kuhamia CHADEMA kesho saa 4 asbh

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
693
181
Press release

Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM kesho atahamia Chadema saa 4 asubuhi kifuatia wwna arusha kukatishwa tamaa na mchakato uliomtoa kipenzi wa watu na vijana wa CCM ndugu Edward Lowasa hivyo wajumbe wengi huenda wakaungana nae muda huo au huo utakuwa mwanzo yu wa mafuriko kutokana na mchakato kutokuwa wa wazi na ukweli na ambao ni dhahiri uligubikwa na maslahi binafsi na ugomvi wa kifamilia. Kijana wa JK saa chache kabla ya pilika pilika kuanza za kukata majina hayo alikaririwa akisema rais hawezibkutoka kanda ya kaskaziniblabda mpaka afariki dunia yeye. Chanzo cha habari hii ni ukurasa wa facebook wa mjumbe huyo ndugu Julius Kalanga
 
Tunamkaribisha kwa mikono miwili ila aache mambo ya kifisadi na avae ukamanda.
 
Press release

Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM kesho atahamia Chadema saa 4 asubuhi kifuatia wwna arusha kukatishwa tamaa na mchakato uliomtoa kipenzi wa watu na vijana wa CCM ndugu Edward Lowasa hivyo wajumbe wengi huenda wakaungana nae muda huo au huo utakuwa mwanzo yu wa mafuriko kutokana na mchakato kutokuwa wa wazi na ukweli na ambao ni dhahiri uligubikwa na maslahi binafsi na ugomvi wa kifamilia. Kijana wa JK saa chache kabla ya pilika pilika kuanza za kukata majina hayo alikaririwa akisema rais hawezibkutoka kanda ya kaskaziniblabda mpaka afariki dunia yeye. Chanzo cha habari hii ni ukurasa wa facebook wa mjumbe huyo ndugu Julius Kalanga
 
Team Edo bwana iyo fb account mlicreate wenyewe na sasa mnaihukumu wenyewe mkacreate na acc ya BBC! Sasa mikwara ya nn si mfanye vitendo jamani tume choka
 
Ngoja tusubiri huo muda ufike tuone kama ni kweli,manake kuna mbunge wa ccm aliwahi kusema jina la lowassa likikatwa tu wabunge zaidi ya Mia watahamia upinzani,sasa lowassa kakatwa na bado hakuna waliohama.
 
Ukawa imeshatekwa na majambazi.hakuna tena kinachoitwa Ukawa. Narudi ccm kwa nguvu zote na Magufulu atashinda kwa uwezo wake mnyeezi Mungu Insha'Allah.
 
Press release

Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM kesho atahamia Chadema saa 4 asubuhi kifuatia wwna arusha kukatishwa tamaa na mchakato uliomtoa kipenzi wa watu na vijana wa CCM ndugu Edward Lowasa hivyo wajumbe wengi huenda wakaungana nae muda huo au huo utakuwa mwanzo yu wa mafuriko kutokana na mchakato kutokuwa wa wazi na ukweli na ambao ni dhahiri uligubikwa na maslahi binafsi na ugomvi wa kifamilia. Kijana wa JK saa chache kabla ya pilika pilika kuanza za kukata majina hayo alikaririwa akisema rais hawezibkutoka kanda ya kaskaziniblabda mpaka afariki dunia yeye. Chanzo cha habari hii ni ukurasa wa facebook wa mjumbe huyo ndugu Julius Kalanga

Tokea mwanze kutishia nyau hadi santuri imechuja
 
Neno kaskazini hawawezi kutawala nchi ni sumu iliyoachwa na mwl ila twavikwa vlemba nukuu maneno ya ole milya alipoondoka ccm baada ya kauli tanga.lakin mwl aliwachukia wachaga kwavkumpinga ama kwa kumwezesha kwenda uno?je ww unawachukia kwa lipi?kuwafundisha maisha ama chuki za kuambiwa?
 
Wanahamia Chadema Halafu wanaimba Lowassa, je Lowasa akikataliwa kugombea kupitia Chadema wakaendelea kuwa wanachadema.?

Hapa naona kuna wanachama wa Chadema na wanachama wa Lowassa.!
 
halazimishwi mtu kukaa ndani ya chama. kama anaondoka awasalimie akina mtei & company.
 
Back
Top Bottom