Mjumbe wa bunge la katiba aanguka Bungeni.

Mtu aliyekaa kwenye kiti anaangukaje? au kiswahili kimekupiga chenga? nikusaidie 'Mjumbe mmoja Ziana Mohamed kundi la 201 toka vyuo vikuu Zanzibar aangua kilio bungeni' baada ya kupata taarifa ya msiba wa mzazi wake (usiwe na tabia ya Kiukawa ukawa)
Hawana maana yoyote pale dodoma, ila ataimiss mipasho na zomea zomea, RIP father
 
Ndio maama hata hapa jf watu wengine huweza kukejeli mtu aki post kitu. Kwahiyo uelewa Wa watumia cm na mitandao Bado ni changamoto
 
Siri: UVCCM Inampango Wakuchoma tena Makanisa kama Ukawa watafanya mikutano Zanzibar.

Ndugu Wazalendo wa Zanzibar na Wale wa Tanganyika/Tanzania Bara ambao wanaipendelea Nchi yetu hii impya ya Tanzania kuwa na Umoja, amani, Utulivu na Muungano wenye Muundo wa Serikali 3 ambao utaondoa kero na manunguniko. Napenda kuwajuilisha kwamba nimepata habari kutoka kwa Sheha mmoja wa CCM ambae mimi ni jamaa yangu wa damu.
Amesema UVCCM wameanshaandaa Kufanya fujo visiwani ili Wa Wadis-rupt (wawaharibie) UKAWA pindipo kama watafanya Mikutano Zanzibar. Hoja hiyo inaaminika kuwa ni mpango mwengine kabamba wakutaka Kumshinikiza Maalim Seif na Ugaidi katika Chama chake CUF. HIvo Ile hoja ya LUKUVI kusema kwamba wanaogopa Serikali ya Kiislamu inaweza kujengwa zaidi hapo pindipo Makanisa mengine yatachomwa Visiwani..
Tunatakiwa tuichukue habari hii in a Serious matter niko mbioni kuipata barua waliojiandaa CCM na nitaiweka hapa kama itawezekana..
Nawasilisha Ujumbe.
 
Mjumbe mmoja wa bunge maalum ambaye sikubaatika kupata jina lake mapema
Amedondoka ndani ya bunge hilo baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake mzazi gafla kwa njia ya sms
Nimejiuliza hao ndugu Zake ni washeinzi kiasi gani hata washindwe kupitisha taarifa hizo kwa mwenyekiti na baadae muhusika apewe na uongozi wa bunge
Au walitaka naye afe ili warithi

Mkuu Kibo10 badala ya kuwalaumu hao ndugu zake nadhani ungemlaumu yeye mwenyewe kuwa ndio mshenzi kwani anakula laki tatu kwa siku za kodi yangu na yako, halafu badala ya kufanya kinachompasa anaendelea kuwasiliana kwa simu ndani ya kikao!!!
 
Mjumbe mmoja wa bunge maalum ambaye sikubaatika kupata jina lake mapema
Amedondoka ndani ya bunge hilo baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake mzazi gafla kwa njia ya sms
Nimejiuliza hao ndugu Zake ni washeinzi kiasi gani hata washindwe kupitisha taarifa hizo kwa mwenyekiti na baadae muhusika apewe na uongozi wa bunge
Au walitaka naye afe ili warithi

naomba awe ni Asha Bakari!
 
Kweli wabunge hawana nidhamu! Wanachat, whatsapp, wanapiga simu, wanatuma na kutumiwa sms! Ndo tutarajie katiba bora? Nna mashaka! Ila pole zake kwa kufiliwa!
 
Mtu aliyekaa kwenye kiti anaangukaje? au kiswahili kimekupiga chenga? nikusaidie 'Mjumbe mmoja Ziana Mohamed kundi la 201 toka vyuo vikuu Zanzibar aangua kilio bungeni' baada ya kupata taarifa ya msiba wa mzazi wake (usiwe na tabia ya Kiukawa ukawa)
Mbona jamaa hakueleza kuwa ameangua kilio! Alichosema ni kuanguka kutoka kwenye kiti hadi sakafuni ndipo akabebwa na kutolewa nje!
 
Anazimia nini na hela ya maziko anayo!!!!?????
Atachaguliwa na watu wa kumsindikiza kabisa??!!!
Hawakuweka muongozo wa wataofiwa???!!!!

Siku akiambiwa masikini kafiwa ataelewa sasa maana yeye na uwezo kazimika ndo ataelewa uchungu wa masikini wanapofiwa!!!!!

mimi siamini kweli kama kafiwa! itakuaje kifo kinatokea kipindi cha mwisho mwisho wa kikao chao? hii ni deal ya kutaka kuchangiwa na wenzake na hata ikipidi Spika na wenzake! anajua bunge linaahirishwa mpaka august na laki 3 ndio hamna tena! yaani hapa wamekutana matapeli na vibaka na sijui kama katiba itapatikana mwaka huu mpaka kwanza wamalize miradi yao huko kwao ndipo waje kuipitisha katiba!
 
Ha haaaaa haaa taratibu mkuu!!!
 
Taarifa ilistahili kuandikwa hivii. Kaangua kilio na kwenda kulazwa hospitali baada ya kupata taarifa ya kifo cha babiye.
 
Back
Top Bottom