figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,496
- 54,913
Wakati bunge linaendelea kuna mjumbe mmoja wa Bunge la Katiba Kaanguka na kubebwa kupelekwa nje. Kwa walioko bungeni wanaweza kutujuza kilichompata.
Mimi nimeona kupitia TBC1.
Mimi nimeona kupitia TBC1.
Thursday, 24 April 2014 07:57
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, alazimika kusitisha kikao kwa muda asubuhi hii mara baada ya mgeni wa Bunge hilo kuangua kilio ghafla baada ya kupata taarifa za msiba.
UPDATES
Mjumbe aliyeangua kilio Bungeni leo ni Zeyana M. Haji toka Zanzibar, ambaye amefiwa na baba ake. taarifa zinasema kuwa mjumbe huyo amelazwa katika hospitali ya rufaa dodoma kwa sababu ya mshtuko