Mjue Vyema Shamhuna Naibu Waziri Kiongozi Zenji

habari nilizozipata anajiandaa kugombea urais wa zanzibar, sasa jamani msimwite zero

huenda akawa rais wetu mtarajiwa
 
si hoja hio hata Rais Karume alikosa kura za kutosha pale Kiswandui lkn sasa anamalizia urais wake
 
kumbe wewe unamjua maana pia alipoiingia aliwagawanya waanzilishi wa ujenzi na kuwafanya makundi makundi yule bwana kwa maslahi yake hachezi

Namuelewa kiasi fulani nakwa machachari jamaa ni hatari - vijana wa Donge hawataki hata kumuona lakin ndio hivyo tena mara iliyopita alijaribu kuhonga ili kijana alohisi ni mpinzani wake ( jina nalihifadhi) asichukue fomu kupitia CCM.
 
ali juma shamhuna...namkumbuka na hoja zake tete zilizomuweka amani roho juu..amani alimbeba ili angalau kupeleka a branch of olive tree kwa pro salminis....

...lakini wajameni tupigeni kampeni rais safari hii lazima atoke pemba....itaakuwa ni ukichaa kuwaweka kando ...na still mkawwalaumu wazee wanaotaka kujitenga....rais pemba awe ccm au CUF ...hilo kwetu lisiwe muhimu wana jf ...la muhimu ni fursa sawa za kutawala zanzibar!!
 
Back
Top Bottom