Mmmhh! Nimeanza aya ya pili kwa kusema: "Pili, si wazungu wote wabaguzi ......." Uliuona msitari huo? Hoja yangu ilikuwa kukanusha kwamba kuna watu weusi wachache kwa hivyo hawawezi kubadilisha mambo iwapo wazungu wanamtaka Trump.Unakosea unapo sema wazungu ni wabaguzi na wakati huo unasema clinton sio mbaguzi.
Na wakati huo trump na clinton wote ni wazungu.
Na nikwambie tu ukweli saizi swala la ubaguzi ni janga la kidunia hata ww mwenyewe unaweza ukute hapo ulipo unabaguliwa na waafrika wenzako bila ww mwenyewe kujijua.
Ila unaona mzungu peke yake ndio mtu mbaguzi duniani.