Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Urais ulikuwa wake
Ila ishu ya kujenga ukuta kule mpaka wa meksiko
Pmj na maneno ya kuudhi anaropoka vimemkosesha point
Sio kwamba mama clinton ni mgombea mzuri, ila kwa sababu wanapambana na mtu ambaye tayari ashashindwa kisaikolojia
Mgombea jeb bush ambaye alipigwa chini kwenye kura za maoni angekuwa Rais bora zaid baada ya obama