Mjomba wangu anatamani kuwa mfalme wa Swaz!!!!!!!

mwe!! kufika swazi haigharimu hata laki mbili. msimu umeshakaribia wa kuenjoy. natafuta uraia kabisa kwani nimechoka na used za hapa bongo. ebu fikiria gari(demu) wa mwaka 1995 ameshapiga mile kama km 120,000
 
Duh, lakini wale wa kanda ya ziwa wanaweza kutusaidia, hivi chagulaga bado ipo huko?
 
attachment.php



Wakuu lini ngoma hii inachezwa tena nichange NAULI? Yaani hapa naanza kupata wasiwasi juu ya urafiki wa hawa mapacha watatu: King Muswati the Great, Zhuma na JK wetu -- ha ha ha

Hapa lazima nipige magoti nisali nisamehewe dhambi maana sitaweza kujizuia - Hebu cheki huyu mtoto wa pili toka kulia --- mwee maua ya duniani haya:
 
sio JK tu hata mimi ningekuwa mkaka lazima ningehudhuria na kumega kwa sana

Kumbe na wewe una tamani dah oooh Marytina!!!!!!! we endelea kutamani wa kaka tu na uendelee kumegwa bana!!! sawa eeeh
 
Hivi kuna rijali yeyote duniani angepiga marufuku huu utaratibu wa Swaziland
CNN more than 400 virgin dadaz walishiriki hizi sherehe.
1000s by 1000s watalii humimiminika SWAZ kila mwaka.
attachment.php


attachment.php



attachment.php
haka kamchezo sijui kanaanzisha mahisia fulani machafu akilini mwangu?
 
nimekaa kwa mswati miaka 2...my mother is from there...kule ration ni 1:10..mwanaum mmoja wanawake 10...vijana wengi kule wanatimkia south kwa ajili ya utafuta pesa....
 
Huu ni unyanyasaji wa haki za binadamu

Kasumba ya wazungu imekukolea, huu ni utamaduni wa mwafrika unaofaa kuendelezwa na kuuenzi. Wazungu walianza kusema tamaduni zetu ni za kishenzi enzi zile za ukoloni, leo kila kitu chako wana sema udhalilishaji na uvunjaji wa haki za binadamu wakati wao wana vaa G-sling wanatembea barabarani!

Ndo maana siku hizi hata wanaocheza ngoma za "asili" wanavaa T-shirt na masketi au makaptula! Shame on us black africans kwa kuona mila zetu zote zimepitwa na wakati. Tunatawaliwa kiakili nasi tumekubali!
 
Dah dah dah !!!!. Sio mjomba wako tu,hata mimi natamani hata sasa niwe huko. Khaaaa kuna watu wanfaudu jamani. Picha tu nimekaribia kuzimia,je ingekuwa live?
 
ombi kwa dada zetu wa Tanzania acheni mkorogo acheni kubadilisha rangi ya nywele na kuvaa wigi
 
Back
Top Bottom