Mjadala wa katiba na BBC leo

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..

Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...

Let us wait..
Yaani jamaa anajikanyaga mwenyewe kwenye maelezo yake na kweli Chadema wana sababu ya kukataa....

Jamaa wa Kenya katoa ushauri mkubwa sana na serikali ishuke chini ikubali huu mchakato ni lazima uanze kwa maelewano makubwa pande zote..

Nilikuwa nitoke Chadema lakini sitokiiiii hata kwa kubanduliwa kama Gamba..

Peoplesssss Powerrrr

Ambao hawakusikia matangazo haya yanapatikana kwenye hii link: http://www.bbc.co.uk/swahili/audio_console.shtml?programme=swa1530
 
ok asante kwa taarifa, nitasikiliza kwa makini sn na nitapost kile kitakachoongelewa
 
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..
Stella Nyanya anaweza kutaka BBC nao wazuiliwe kutangaza mjadala wa katiba mpya.
 
Tunashukuru kwa taaarifa, but mda kamili utakuwa ni saa ngapi???? Tuombe mungu wasije wakaTUNGELEJA!!!!
 
Mtoa mada una hasira BBC wana idhaa nyingi ie swahili au eng na pia ata mida inatofautiana na mahara could be CAT,EAT ETC
Usiwe na hasira jibu tuu maswali amicably
 
Nakachaji kasimu kangu ka mchina kabla Mr. Megawatt hajaondoka na mambo yake ili nisikilize kwa utulivu.
 
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..
microfon chek, chek. safi. ziko poa. chaji nayo iko juu. ahsante mkuu.
 
kuanzi saa 12:30 jioni, radio one, radio free africa na wenyewe bbc unaweza kuwapata kupitia 101.4 fm
 
Hawa BBC ni pro-CCM mno. Msitegemee chochote cha maana.

Waliwabeba sana kwenye uchaguzi mkuu na kuhalalisha ushindi wao wa mashaka hata kabla ya uchakachuaji.

Ukweli ni kwamba vyombo kama BBC na CNN vinasikia zaidi upande wa watawala wetu kwa sababu wanakutana na maofisa wao na kuzungumza nao kwa lugha wanayoielewa, yaani English. Chadema na Peoples Power zinazungumza kwa kiswahili ambacho hawa CNN na BBC hawakielewi kabisa.
 
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..

Thanx mkuu,umenikumbusha manake hapa mbezi ndo ka ngeleja kamekuja mda huu tena low voltage,ngoja tu nikachomeke katochi changu chenye simu kwenye chaji ili by mda huo tuende sawa
 
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...Let us wait..

tujuze na muda kaka.
 
Back
Top Bottom