Mixed reaction to CCM resignations

Kwenye remote yako ya Decoder kuna button imeandikwa Track ...bonyeza hiyo utapata sauti ya Television
 
kasema muswada huu ni kama uchochezi kutaka watu kutumia njia ambozo zisingekuwa lazima kuchukuliwa kama mambo muhimu yote yangezingatiwa.
pia amemuomba raisi kufuta kipengele cha dharura kama anania njema na mustakabali wa nchi hii.
 
ch 10 kwangu inachanganya picha na sauti ya redio nimechukia kinoma. Kesho nawafuata star time hapa arusha kuwatukana kwanza

Kwenye remote yako ya Decoder kuna button imeandikwa Track ...bonyeza hiyo utapata sauti ya Television
 
ch 10 kwangu inachanganya picha na sauti ya redio nimechukia kinoma. Kesho nawafuata star time hapa arusha kuwatukana kwanza

taratibu mkuu......unaweza ukatukana ukakuta makosa yalikuwa ni ya kwako........check hiyo remote ya decoder button ya trck ukipress utasikia sauti ya redio, TV au zote kwa pamoja.....left, right or stereo.....jajaribu hivyo ikizingua wafate
 
Pongezi sana kwa chadema kwa kuweza kukiua chama ccm na tutaendelea kuondoa mmoja mmoja mpaka Mungu atakapo tupa "hallelujah" yetu. Nani alitabiri kikwete angeiba kura na mpaka leo angekuwa analala kwa waganga? Nani angetabiri kama kikwete angeshindwa kusafiri safiri mara kwa mara na kurumia pesa za wananchi kama ilivyo term yake ya kwanza? Chadema na wananchi tumefanya kazi na bado tutaendelea kufukuza tanzania.
 
Kwamara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi urudi Tanzania Chama tawala cha sambaratika baada ya uchaguzi mkuu...................
Hii ni ajabu kweli watanzania tumefanya kazi...........................
 
ch 10 kwangu inachanganya picha na sauti ya redio nimechukia kinoma. Kesho nawafuata star time hapa arusha kuwatukana kwanza

Ndugu usiende kutukana watu bure hapo kwenye remote yako mkono wa kulia juu kuna button imeandikwa track bonyeza hapo, itakuwa pouwa enjoy japo wote tu end-user wa vitu hivi
 
Mbowe ataka waliojiuzulu waondoke pia serikalini Sunday, 10 April 2011 21:38


f.mboye.jpg

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

Habel Chidawali, Dodoma
Mwananchi

SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya CCM (CC) na Sekretarieti yake kujiuzulu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewataka wajumbe wote waliojiuzulu ambao wana nyadhifa serikalini kuondoka madarakani pia.

Mbowe alisema hayo jana katika kongamano la wasomi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na chama hicho Mjini Dodoma.
Alisema utamaduni wa kujiuzulu kwa viongozi wa CCM kwa kupisha wenye uwezo kufanya kazi, ungekuwa na maana zaidi kama ungefika katika nafasi za Serikali ambako nako alisema kuwa kunatakiwa kuvuliwa gamba.

Kiongozi huyo wa Kambi ya Upinzani Bungeni alisema kama ilivyo kwa kila mtu muungwana kueleza ukweli pale anapoona kuwa kazi imemshinda, ndivyo inavyotakiwa hata kwa Serikali kwani kwa mujibu wa maelezo yake kuna watu wengi ambao hawajui wajibu wao na kwamba wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea kwa ajili ya kuwafurahisha wakubwa wao.

"Tunawashukuru CCM kwa kuelewa kuwa kutokuwajibika dawa yake ni kujiuzulu, tunataka utamaduni huu waupeleke serikalini na siyo ndani ya chama kwani hilo halitasaidia kitu," alisema Mbowe na kuongeza;
"Tunawaona wanajiuzulu ndani ya chama lakini hawajiuzulu serikalini na serikalini ndiko wanakowakosea wananchi siyo kwenye chama kwa nini wanakataa kujiuzulu serikalini?"

Mwenyekiti huyo alisema kuwa kitendo cha Kamati Kuu ya CCM (CC) na sekretarieti yake kujiuzulu ni ishara ya kuweweseka na kukiri udhaifu akisema sasa yamewafika (CCM) shingoni ndipo wanaweka mambo hadharani.

"Kama Kamati Kuu na sekretarieti vimeonekana ni legelege na dhaifu ni wazi kuwa hata fikra zinazoongoza taifa nazo ni dhaifu na legelege," alisema.

Alisema kama wanaCCM watavuana madaraka haitasaidia kitu kwa kuwa watu bado ni walewale wasiowajibika katika ngazi zote na siyo kwa kamati kuu peke yake.Kwa mujibu wa Mbowe, tatizo la CCM halipo kwenye gamba, bali ndani ya damu hata kama wakijivua gamba bado damu yao imejaa 'saratani,' akahoji kujivua gamba kama ndiyo suluhisho la matatizo. Alisema hatua ya kamati kuu na sekretarieti ya CCM ya kujiuzulu imewapa wao ari na nguvu zaidi wa kujiimarisha.

Chadema na vyombo vyake vya habari
Akizungumza na wasomi katika kongamano hilo, Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika alisema kutokana na changamoto kubwa wanayoiona hivi sasa ndani ya CCM ni wazi kuwa kunahitajika maandalizi ya kutosha na kwamba wana uhakika kuwa wataibuka washindi 2015.

Mnyika alisema baada ya kuona CCM wanataka kuamka, Chadema kinapanga kuanzisha vyombo vya habari kwa ajili ya kuwapasha habari wananchi."Pamoja na mambo mengine, Baraza Kuu litapitisha mpango kabambe wa miaka mitano katika kuanzisha vyombo vya habari. Tunaamini kuwa wananchi wengi wanakosa kusikia mambo mazuri yanayozungumzwa na viongozi wao.
 
Poleni Dar. But anyway what really is RC's role to city's progression? Some of think we should do away with RCs and DCs among others.
 
Please People give the old man a break. He has done what he could and we are the witness of his actions regardless of our general opinion on his performance. It is something to recognise that he has worked as Secretary General of the Ruling party for all that Period. He deserves retirement spot with respect. Stop this speculation on his next appointment.
 
sidhani kama chama na mkuu wa kaya watampa nafasi nyingine yeyote, ngoja apumzike
 
Poleni Dar. But anyway what really is RC's role to city's progression? Some of think we should do away with RCs and DCs among others.

We dont need RC for dar, we probably need a Special Ministry for the city including the coastal reagion. kwani eneo la jiji tayari limekuwa dogo na jiji linapanuka sana japo shaghala baghala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom