Mixed reaction to CCM resignations

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Kutokana na kujiuzulu kwa Skretariat na Kamati Kuu ya CCM -- hivyo kujiuzulu kwa Makamba, mtu ninayemsikitikia ni Tambwe Hiza. Kilaza huyu kuwamo ndani ya CCM na kupewa mdomo mpana ambao kautumia vibaya kukimbiza wanachama ni kazi ya Makamba.

Sasa inavyoelekea kwamba Tambwe Hizza na watendaji wengine aliyowarundika Makamba ndani ya uongozi wa CCm katika mikoa/wilaya mbali mbali watakula kwao, maana atakuja Katibu Mkuu mwingine ambaye ni lazime asafishe uoza aliopandikiza Makamba.

Kuna yule mwngine Katibu wa Mkoa wa Dar, ambaye alikuwa anatumiwa sana na mafisadi sijui jina lake -- nadhani ni Kilumbe. Naye aanze kufungasha.
 
kilumbe ndo bogas namba moja dunia nzima....alivuruga sana uchaguzi wa madiwani sinza ...
 
...really!!! sio habari nzuri kwetu wengine!!! hawa watu hasa Tambwe Hizza walikuwa nguzo muhimu sana kwa wapinzani wa CCM!! so assignment ya mwisho ya Tambwe ilikuwa juzi kubeba wale watoto na kuwapeleka Karimjee Hall saa 11 alfajili. Karibu tena CUF, Tambwe tena kule kuna wapenda mabwabwa wengi tu!!
 
Kutokana na kujiuzulu kwa Skretariat na Kamati Kuu ya CCM -- hivyo kujiuzulu kwa Makamba, mtu ninayemsikitikia ni Tambwe Hiza. Kilaza huyu kuwamo ndani ya CCM na kupewa mdomo mpana ambao kautumia vibaya kukimbiza wanachama ni kazi ya Makamba.

Sasa inavyoelekea kwamba Tambwe Hizza na watendaji wengine aliyowarundika Makamba ndani ya uongozi wa CCm katika mikoa/wilaya mbali mbali watakula kwao, maana atakuja Katibu Mkuu mwingine ambaye ni lazime asafishe uoza aliopandikiza Makamba.

Kuna yule mwngine Katibu wa Mkoa wa Dar, ambaye alikuwa anatumiwa sana na mafisadi sijui jina lake -- nadhani ni Kilumbe. Naye aanze kufungasha.

Asante Mkuu. Na iwapo Rostam hatarudi katika Kamati Kuu na hivyo kupunguziwa mbawa, basi ina maana Zitto naye atajikuta katika hali ngumu -- hasa katika harakati zake dhidi ya chama chake, harakati ambazo Rostam ndiye alikuwa mfadhili.
 
hv aliwaambia nini wazazi wa wale watoto mpk wakamruhusu kuchukua watoto wao? Akili nyngne bana! Ndo imekula kwake hta CUF hatakiwi tn, aende akaanzishe chama chake na Makamba!
...really!!! sio habari nzuri kwetu wengine!!! hawa watu hasa Tambwe Hizza walikuwa nguzo muhimu sana kwa wapinzani wa CCM!! so assignment ya mwisho ya Tambwe ilikuwa juzi kubeba wale watoto na kuwapeleka Karimjee Hall saa 11 alfajili. Karibu tena CUF, Tambwe tena kule kuna wapenda mabwabwa wengi tu!!
 
yes ... makamba anahoteli yake pale morogoro mount usambara ... nadhani ni wakati wa Tambwe hiza kupata ajira mpya ya kuchoma chips
 
Tambwe ni opportunist atahamia CCK.

Ni kweli Jamaa ni opportunist sana, ila yuko smart hawezi kwenda CCK nafikiri anajaribu kujisogeza CHADEMA, leo nimemsikia kwenye radio moja anaisifia CDM nafikiri ndio anako-target kwa sasa, seems keshasoma alama za nyakati...akili kumkichwa inabidi kufanya vetting ya watu wanaotaka kuja CDM
 
Nadhani kati ya watu watakaopata shida ni huyu jamaa Tambwe Hiza,mmbea na msema hovyo mwenzake katoka tunasubiri yeye tuone...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom