Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,032
- 23,715
Kuna Waislamu wa Buza wakiswali wanaogongesha vichwa chini,wengine wanaongeza mchanga(wanatoa kwenye kanzu kisha wanaweka sehemu anayosujudu),wengine akisujudu anasugua paji la uso chini. Haya yote ili mradi tu aonekane anaswali.Haha..
Ongezea kovu kwa paji la uso.
Mwarabu swala 5 ni mweupe lakini hana alama yoyote usoni, ila Mmatumbi mweusi tiii ana bonge la kovu kwenye paji la uso anaita Sigida !!
Haya mambo ya Hila ya kutafuta sijda kwa sifa hayafanywi na waislamu wote lakini.
Wengine huenda mbali zaidi na kusema ile sigda ni taa pindi mtu anapokuwa kaburini(akifa).