Tukitaka kupandisha kiwango cha kufauru kwa wantahiniwa wa form four na form six lazima mitihani ya darasa la nne na ya kidato cha pili uruhusu kuchuja wanachuo kama ilivyokuwa hapo zamani.
Kwa sasa tutahangaika kutafuta suruhisho na kushikana mashati kumtafuta mchawi,lakini hili ni moja wya mchawi wa kushusha kiwango cha kufauru.
yapo mengine lakini hili ni rahisi kulitekeleza.
Haiwezekani mtoto hajui hata jina lake kuliandika halafu anaambiwa razima akaufanye mtihani wa kumaliza kitato cha nne.Ni lazima mchujo urudi wa darasa la nne na form two