Miti ya Mapambo yaota ghafla barabara ya Sam Nujoma

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,270
Leo nimeona maajabu miti ya mapambo imeota ghafula kwenye barabara ya Sam Nujoma maeneo ya Mlimani City Shopping Mall,hakika barabara imependeza lakini hii miti haioti hovyo ,ina masharti na moja ya sharti ni kuwa mpaka pale ijue itatembelewa na waheshimiwa sana wageni kutoka nje ndio inasitawi na wageni waondokapo tu hii miti hufa. Lo naionea huruma kwani itaishi kwa siku si zaidi ya tatu tu hapo Mlimani city
 
Back
Top Bottom