Aah hakika!ndiyo maana wale walionunuliwa wanalazimishwa kulipa gharama . Angalia wa kina katambi wanavyotakiwa kuichafua chadema kwa maneno mazito . je walikuwa wapi kusema yote hayo .kwani tumesikia mengi wakisema kuhusu chadema , kwa lengo la kuichafua
Na mengineyo unaweza kujazia . huu ni wakati kambi ile ya kijani inakuja na hoja nyingi sana ,kwa kutumia walionunuliwa . wanalipa gharama .
- mbowe alilewa na kuanguka .
- chadema wanaungana na mabeberu .
- lissu ana chip mwilini ,
- chasema ni watekaji na walitaka kumuua lisu
kama chadema waliweza kuruka vihunzi hivi , basi wameshinda . hivi vingine ni muendelezo wa kukwama kwa kambi ile ya kijani .
Sasa hivi Ni mwendo wa kukodi bodabodaChadema ki uhalisia imepoteza nguvu kwa kiasi kikubwa kilichobaki ni kuwapa mafuta na posho bodaboda watengeneze nyomi. CCMTanzania political power house wana test na kuweka mitambo yao sawasawa kwa sasa.
Unanunua mmoja unawaudhi elfu moja!aliyempa wazo la kuawanunua watu alimpa ushauri mbovu kabisa usio na tija ianatakiwa amtafute ili amrudishie pesa zake maana work done ziko to zero,huyu jamaa atakuja waelewa watz akiwa keshachelewa kabisa wateule wake wanampa habari hazipendazo ili wampige pesa cheki kama idea ya kuwanunua kina waitara,lijuakali sijui wao wameingiza bei gani.
Anaacha kuwanunua wapiga kura eti ananunua wanaopigiwa kura, wazo la kijinga kabisa hili limeshindwa kuwaletea tija.Huwezi uwa upinzani kwa kuwafanya wananchi wawe masikini.Unanunua mmoja unawaudhi elfu moja!
Ccm Ni chaka la ukimbizi wa wahamiaji haramu waliofata malisho ya mifugo nchini kwetu wakanifichia humo,tunawatambua kwa roho zao chafu za kuuwa watz wenzetu,kila ukaribiapo uchaguzi lzm yamwage damu zetu kulinda matumbo yao.Hata hiyo kambi ya kijani kuna makundi mawili, wahutu (Rohombaya) na wa kawaida (wenye tuu) amini usiamini wenye utu hawawezi kumpa kura muhutu yeyote
Mbona sheria kandamizi nyingi Sana za kuwalenga chadema hasa kipindi hiki cha uchaguziChadema ki uhalisia imepoteza nguvu kwa kiasi kikubwa kilichobaki ni kuwapa mafuta na posho bodaboda watengeneze nyomi. CCMTanzania political power house wana test na kuweka mitambo yao sawasawa kwa sasa.
maisha halisi imefanya iwepo moyonibmwa watu na si mtaani Tena only mwny kuvuna pesa au mtarajia pesa ndo utamsikia ccm oyeeeeeeKwa akili yako unaona chadema ile ya kabla ya 2015 ipo huku mitaani?
Subiri kampeni ianze ndo utajua kwamba ipo au haipoKwa akili yako unaona chadema ile ya kabla ya 2015 ipo huku mitaani?
Subiri matokeo ya oktoba utajioneaSubiri kampeni ianze ndo utajua kwamba ipo au haipo
Usichojua ni kwamba 2015 CHADEMA Walikuwa na wanachama miloni nane na sasa wanao zaidi ya milioni kumi na Tatu, itakuwa wamekufa kabisa eeh? Samahani wanaCHEDEMA tunatoa siri hawa watu huwa wanaudhi malanyingine!!Kwa akili yako unaona chadema ile ya kabla ya 2015 ipo huku mitaani?
Matokeo ndio tegemeo pekee la CCM, wanahisi kwakuwa katiba ni mbovu watatangazwa japo wanajua huwa hawashindi, sasa ukondoo ndio husababisha mshindwa kutangazwa, ukondoo ukidhibitiwa mshindi halali atatangazwa Kwa namna yeyoteSubiri matokeo ya oktoba utajionea
Ni upotevu wa nguvu za kufikiri kuamini kwamba Lisu atawashinda ccm kwenye bix la kura!Matokeo ndio tegemeo pekee la CCM, wanahisi kwakuwa katiba ni mbovu watatangazwa japo wanajua huwa hawashindi, sasa ukondoo ndio husababisha mshindwa kutangazwa, ukondoo ukidhibitiwa mshindi halali atatangazwa Kwa namna yeyote
Ni upotevu wa nguvu za kufikiri kuamini kwamba Lisu atawashinda ccm kwenye bix la kura!
Kama kipimo chenu ni hayo mafuriko, hata diamond anakusanya mara 3 ya anaowakusanya Lisu
Tena ngono zembeNi rahisi sana kufanya ngono kuliko kuuwa upinzani