Uchaguzi 2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

Chadema ki uhalisia imepoteza nguvu kwa kiasi kikubwa kilichobaki ni kuwapa mafuta na posho bodaboda watengeneze nyomi. CCMTanzania political power house wana test na kuweka mitambo yao sawasawa kwa sasa.
 
ndiyo maana wale walionunuliwa wanalazimishwa kulipa gharama . Angalia wa kina katambi wanavyotakiwa kuichafua chadema kwa maneno mazito . je walikuwa wapi kusema yote hayo .kwani tumesikia mengi wakisema kuhusu chadema , kwa lengo la kuichafua
  1. mbowe alilewa na kuanguka .
  2. chadema wanaungana na mabeberu .
  3. lissu ana chip mwilini ,
  4. chasema ni watekaji na walitaka kumuua lisu
Na mengineyo unaweza kujazia . huu ni wakati kambi ile ya kijani inakuja na hoja nyingi sana ,kwa kutumia walionunuliwa . wanalipa gharama .

kama chadema waliweza kuruka vihunzi hivi , basi wameshinda . hivi vingine ni muendelezo wa kukwama kwa kambi ile ya kijani .
Aah hakika!
 
Chadema ki uhalisia imepoteza nguvu kwa kiasi kikubwa kilichobaki ni kuwapa mafuta na posho bodaboda watengeneze nyomi. CCMTanzania political power house wana test na kuweka mitambo yao sawasawa kwa sasa.
Sasa hivi Ni mwendo wa kukodi bodaboda
 
aliyempa wazo la kuawanunua watu alimpa ushauri mbovu kabisa usio na tija ianatakiwa amtafute ili amrudishie pesa zake maana work done ziko to zero,huyu jamaa atakuja waelewa watz akiwa keshachelewa kabisa wateule wake wanampa habari hazipendazo ili wampige pesa cheki kama idea ya kuwanunua kina waitara,lijuakali sijui wao wameingiza bei gani.
Unanunua mmoja unawaudhi elfu moja!
 
Hata hiyo kambi ya kijani kuna makundi mawili, wahutu (Rohombaya) na wa kawaida (wenye tuu) amini usiamini wenye utu hawawezi kumpa kura muhutu yeyote
 
Unanunua mmoja unawaudhi elfu moja!
Anaacha kuwanunua wapiga kura eti ananunua wanaopigiwa kura, wazo la kijinga kabisa hili limeshindwa kuwaletea tija.Huwezi uwa upinzani kwa kuwafanya wananchi wawe masikini.
 
Hata hiyo kambi ya kijani kuna makundi mawili, wahutu (Rohombaya) na wa kawaida (wenye tuu) amini usiamini wenye utu hawawezi kumpa kura muhutu yeyote
Ccm Ni chaka la ukimbizi wa wahamiaji haramu waliofata malisho ya mifugo nchini kwetu wakanifichia humo,tunawatambua kwa roho zao chafu za kuuwa watz wenzetu,kila ukaribiapo uchaguzi lzm yamwage damu zetu kulinda matumbo yao.
 
Chadema ki uhalisia imepoteza nguvu kwa kiasi kikubwa kilichobaki ni kuwapa mafuta na posho bodaboda watengeneze nyomi. CCMTanzania political power house wana test na kuweka mitambo yao sawasawa kwa sasa.
Mbona sheria kandamizi nyingi Sana za kuwalenga chadema hasa kipindi hiki cha uchaguzi
 
Mbona sheria kandamizi nyingi Sana za kuwalenga chadema hasa kipindi hiki cha uchaguzi
Unafikili hiyo hajui? Ndio wahusika wenyewe hao wanatungiwa sheria kandamizi wanatoa macho na kushangilia, likimgusa ndio anagundua
 
Kwa akili yako unaona chadema ile ya kabla ya 2015 ipo huku mitaani?
Usichojua ni kwamba 2015 CHADEMA Walikuwa na wanachama miloni nane na sasa wanao zaidi ya milioni kumi na Tatu, itakuwa wamekufa kabisa eeh? Samahani wanaCHEDEMA tunatoa siri hawa watu huwa wanaudhi malanyingine!!
 
Subiri matokeo ya oktoba utajionea
Matokeo ndio tegemeo pekee la CCM, wanahisi kwakuwa katiba ni mbovu watatangazwa japo wanajua huwa hawashindi, sasa ukondoo ndio husababisha mshindwa kutangazwa, ukondoo ukidhibitiwa mshindi halali atatangazwa Kwa namna yeyote
 
Ni upotevu wa nguvu za kufikiri kuamini kwamba Lisu atawashinda ccm kwenye bix la kura!

Kama kipimo chenu ni hayo mafuriko, hata diamond anakusanya mara 3 ya anaowakusanya Lisu
 
Wewe akili yako unaijua mwenyewe na si mchunguzi, unajua 2015 ulikuwa 10m against 2m aliyeshinda?

Ukondoo ulisababisha bwanayule asitangazwe, ukikoma ukondoo mshindi halali atatangazwa hata Kwa viboko!!
Ni upotevu wa nguvu za kufikiri kuamini kwamba Lisu atawashinda ccm kwenye bix la kura!

Kama kipimo chenu ni hayo mafuriko, hata diamond anakusanya mara 3 ya anaowakusanya Lisu
 
Back
Top Bottom