Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

Preta we mmmmmmbaayaaaa...unaukoo na marehem shekhe Yahaya nin? Hahaha
 
Last edited by a moderator:
pretta u are the only clairvoyant i know. u must begin ti charge for being a seer. hakuna visingizio. alistahili. tusubiri malalamiko ya miss tz kuwa kuna upendeleo wa rangi, umbo nk
 
nimecheki kwenye mtandao miss tz amefarajika na kuwa watatu Miss Beauty with purpose ninasubiri kupitia kideo yake. Tatizo nawahama maana MANUTD wanacheza na Westbrom.
 
Miss world ni from Philipines akifuatiwa na France na wa tatu ni glamour girl from Ghana,Africa.
 
Hapa hakuna fortune teller wala nini.. hii si ilifanyika jana usiku kwa saa za huko indonesia??
 
Mghana nimemkubali, hiyo itawafanya Waghana wasahau kumpoteza mwanafasihi wao aliyeuawa wiki jana pale West Gage Mall, anaitwa Prof. Kofi Awoonor
 
kwahyo Wi-Fi unataka kutuambia nin? Kwamba Preta yupo huko ama ameambiwa? Ila kwenye tv nliyokuwa naangalia mimi iliandka "live" au hili neno linamaana gan?
 
Last edited by a moderator:
kwahyo
Wi-Fi unataka kutuambia nin? Kwamba
Preta yupo huko ama ameambiwa? Ila kwenye tv
nliyokuwa naangalia mimi iliandka "live" au hili neno linamaana
gan?

mkuu hii kitu ilikuwa live na kwa masaa wao wako mbele zaid ndio maana kwao ni usiku.
 
Last edited by a moderator:
kwahyo Wi-Fi unataka kutuambia nin? Kwamba Preta yupo huko ama ameambiwa? Ila kwenye tv nliyokuwa naangalia mimi iliandka "live" au hili neno linamaana gan?

Ukiona TV imeandika "Live" ujue inaishi..
 
Last edited by a moderator:
Miss Ghana amejitahidi kuiwakilisha africa vizuri, Nancy alikuwa wa sita huyu kawa wa tatu very nice acha wakina Wema washindanie kutoka kwenye magazeti na Domomond wake.
 
Back
Top Bottom