Miss universe 2010: Hellen dausen photos

OOH Maskini Hellen,kwenye Picha yupo Bomba but live duuh?I still dont believe it....:becky:!I think hakujiandaa na pia alijiamini saaana
 
Hawa ma-miss Universe kila mwaka huwa wanatokea duniani tu, mbona hatusikii sayari zingine kushiriki!?
 
kwahiyo unatka wa PLUTO ..JUPITER ..MARS NAO WAJE KUSHIRIKI:confused2::confused2:
Naona kuna haja ya kuwa na mashindano ya Mrembo wa africa mana wathungu wanatuchanganya sna maumbile/rangi/uzuri/etc..wao na wetu ni tofauti..
 
aaahhh....bobbyyyyyyyyyyyyyyyyy, kwenye ndege sio eh? halafu ukawa disappointed eh??

bbbboooobbbyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Mkuu Acid ni kwenye ndege wala c vinginevyo. Nilikutana naye Nairobi then tukakwea naye pipa kuja Dar. Disappointment yangu ni kwa sababu ya tofauti kubwa sana iliyopo kati ya The real Hellen na pictures zake. I had seen her pictures before JF, of course ndio sababu ya kumtambua. Hata kama nilifanikiwa kumtambua lakini OMG photoshop ni noma wajameni tuacheni masihala. That should not mean kwamba si mzuri big NO, ila picha na hali halisi vimeachana mbali sana.
 
nimependa kiswahili cha kukwea
mix with yours
 
Huyu ndio Miss Universe wetu 2010 hivi Lundenga huwa hawaoni Ma-miss wa ukweli kama huyu nadhani sasa shindano lake limepoteza mwelekeo na mvuto kwa kutoa Ma-miss wasio katika kiwango!

pic-8.jpg

29208_115606798469994_114997471864260_149059_3856104_n.jpg
29208_115615275135813_114997471864260_149086_368716_n.jpg
29305_115760315121309_114997471864260_149624_2620895_n.jpg

Huyu pedi yake naila kavukavu washed down with her raw ushuzi
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo unatka wa PLUTO ..JUPITER ..MARS NAO WAJE KUSHIRIKI:confused2::confused2:
Naona kuna haja ya kuwa na mashindano ya Mrembo wa africa mana wathungu wanatuchanganya sna maumbile/rangi/uzuri/etc..wao na wetu ni tofauti..
ndio manake!
 
Aliporudi Bongo Hellen kadai eti kashindwa kwasababu alikataa kuvaa swimsuit si maadili ya kitanzania nami nimeona picha yake akiwa kwenye swimwear.
 
Hawa ma-miss Universe kila mwaka huwa wanatokea duniani tu, mbona hatusikii sayari zingine kushiriki!?

du umenivunja mbavu....neway msifieni lakini sisi wengine ambao tuna-embrace mizigo mikubwa hapo hamna kitu...teh..teh..
 
Back
Top Bottom