Watu wanaharibu sana lugha ya taifa,Mtangazaji/MC wa shughuli muhimu kama hiyo hawezi hata kuongea kiswahili fasaha aibu kubwa.Hawa watangazaji kiboko penye r wanaweka l mi watu waongeaji HVO hunichefua aisee
Hivi hawa watu wanaoandaa hizi shughuli huwa hawatazami wenzao huko mbele wanafanyaje???hata kama hutofikia huko angalau hata 55% yao sio mbaya.