Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
Afu anaongea km kabeba ndege Kasuku.. Hataki kumpa mwenzake nafasi aongeee. Aaah!
 
Hivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
miaka mingine.nadhani.kunakuwa.na option ya.kuchagua lugha ya kutumia.ila.mwaka.huu.naona wote.wameongea lugha ya malkia
 
Hivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
wenyewe tu na ushamba wao ona wanajinyima fursa magufuli mwenyewe haongei hii lugha ovyoovyo
 
Yani lugha ilimpitia pembeni ila kwa vigezo ana deserve wengine watarnda kututia aibu miss world
Ujue shida tunayopa ni kulazimisha kuongea lugha ambayo kiukweli hatuwezi kuizungumza wala kuielewa kiufasaha. Miss world huwa naona warembo wengine huambatana na wakaimani. Ukijibu swali katika lugha ambayo unaielewa na kuisikia kwa ufasaha unakuwa na nafasi ya kujibu swali vema na kwa usahihi zaidi.
 
Miss Lake Zone anastahili kushinda....na yule wa kwanza wa Masai Dondosha Wembe,....Documentary yake iko Poa sana..ila tatizo lake hajui kutembea
 
Tatizo uoga hufanya maneno yapotee hasa yakuunga unga, sasa huyo wamwisho kapanic baada ya kuona mwenzake kajibu kiuurefu na yeye badala aongee kiufupi tu ndo kaishia njiani.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Miss Lake Zone anastahili kushinda....na yule wa kwanza wa Masai Dondosha Wembe,....Documentary yake iko Poa sana..ila tatizo lake hajui kutembea
bora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakoma
raisi mwanza
miss tz mwanza
makonda nae huko huko Mungu atuepushe kwa kweli
 
Back
Top Bottom