kuna watu wanajua kuchora duniani..aisee nimenyosha mikono.
yaani huwa nawaza sana huyu bi kiroboto anavoenda kwenye ziara nje ya nchi anaongea kweli kiingereza au kiswahili? maana sentensi zake za kiingereza zina matatizo mazito sana ya grammar
Nani alikwambia English ni mojawapo ya kigezo cha Uongozi, wengi wanapewa wakalimani hata mama mwanaasha anaye wake.