Misharaha, cheki, misahama ya kodi...hivi hizi ni public info?

Ni katika suala la uwazi. Waliopewa misamaha ya kodi huwa wanaanikwa kwenye mtandao.
Kama umewahi kusamehewa hata kodi ya kuingiza gari, basi we search jina lako utaliona. Mimi naona hii poa tu.
 
Back
Top Bottom