Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Ni masikitiko.masuala yote ya kiutumish ethically mtumish hupaswi kuja huku .lazima uwe na siri.
Hiyo Siri haina mipaka? Kuna mtu kaweka nyaraka za serikali hapa? Mbona hiyo siri haikusemwa wakat halmashauri ilipotoa press release ya kumtaka kiongozi wa CWT arudi kituo chake cha kazi?

Hakuna Siri kwenye kushindwa kulipa mishahara.
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Jitaje mwenyewe kuwa ndio kwenye shida, waache walimu! Kuchelewa siku mbili kwa mshahara kunaathiri nini ilhaki mwisho wa mwezi bado?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ndio watu wajifunze joto la kitaa , na dharau waache , ule ujinga wao wa kudharau vijana hustler kitaa na kuwaambia " mjiajiri "
Ninyi mmetumikia miaka yote hiyo na hamna hata savings kidogo za kusustain maisha siku chache tu .
Watumishi Mminyo kidogo tu kilio kama ngiri pori.
Imagine ugumu wanaokutana nao watu wanaoungaunga kitaa bila sustainable job au biashara wanaishije .
Halafu kijana asiye na ajira kitaa anaambiwa " Jiajiri wewe mpumbavu " mara " vijana wavivu " ,mara "Maisha sio magumu ,muache uvivu "
Kumbe watumishi wakitupwa huku kitaa wanakuwa worse off than jobless youths wa hili taifa ambao wanapigiwa kelele kila siku
............Watu wakishiba hawajui maumivu ya njaa.
 
Back
Top Bottom