Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,195
- 5,486
Ndio watu wajifunze joto la kitaa , na dharau waache , ule ujinga wao wa kudharau vijana hustler kitaa na kuwaambia " mjiajiri "Waalimu lazima walalmike jamani.. Kazi haina poshoo haina rushwaa...haina Overtime haina chochote nje ya mshaharaaa Aisee hii nchi waalimu wanateseka mnoo..!
Ninyi mmetumikia miaka yote hiyo na hamna hata savings kidogo za kusustain maisha siku chache tu .
Watumishi Mminyo kidogo tu kilio kama ngiri pori.
Imagine ugumu wanaokutana nao watu wanaoungaunga kitaa bila sustainable job au biashara wanaishije .
Halafu kijana asiye na ajira kitaa anaambiwa " Jiajiri wewe mpumbavu " mara " vijana wavivu " ,mara "Maisha sio magumu ,muache uvivu "
Kumbe watumishi wakitupwa huku kitaa wanakuwa worse off than jobless youths wa hili taifa ambao wanapigiwa kelele kila siku