Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,379
- 2,533
Serikali imefirisika imeenda kukopa fedha ili iwalipe watumishi mishahara.
Sina cha kukwambia ila tu Acha utani na maisha ya watu.kuwa serious na maisha ya watu mkuuKupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri waliropoka mpaka kiasi cha hela walichoongezewa kwenye mishahara yao mamlaka hamlioni hili ndio maana mambo mengi yanavuja kabla ya mda.
Hebu twambie ni sheria gani na kufungu gani cha sheria hiyo kinasema mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi? Na je kama uliopita ulitoka tarehe 22 Septemba, mwisho wa mwezi kwako ni tarehe ngapi? Tatizo wengine humu mnajifanya wajuaji kumbe zero kabisaHata kama ukitoka tarehe 20 sio sheria ulipwe tarehe 20 maana mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi.mwisho wa mwezi ni lini?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Lazima wajeda awawahishie maana Yuko nje ya nchi, wanaweza kumuwahi kabla hajarudi.ni kweli wajeda tayari sijui sisi hatima yetu ikoje
Sijui kwanin imekuwa hiv mwz uliopita iliingia chapyaani wamezingua sana wakina nchembaa
Kwani hujui kila mwezi unaisha lini? Huo ndio mwisho wa mwezi kama ukiingiziwa mapema ni favour tu kama vp unaweza kuziacha hadi siku mwezi unapoisha.huwdzi kuipeleka serikali mahakamani kisa mshahara umeingia tarehe 26 utaulizwa kwani ulitakiwa uingie lini?Hebu twambie ni sheria gani na kufungu gani cha sheria hiyo kinasema mshahara unatakiwa kutoka mwisho wa mwezi? Na je kama uliopita ulitoka tarehe 22 Septemba, mwisho wa mwezi kwako ni tarehe ngapi? Tatizo wengine humu mnajifanya wajuaji kumbe zero kabisa
Hujui lolote ni wa kuhurumiwa tuKwani hujui kila mwezi unaisha lini? Huo ndio mwisho wa mwezi kama ukiingiziwa mapema ni favour tu kama vp unaweza kuziacha hadi siku mwezi unapoisha.huwdzi kuipeleka serikali mahakamani kisa mshahara umeingia tarehe 26 utaulizwa kwani ulitakiwa uingie lini?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Maisha gani sasa mshahara kuchelewa siku mbili tu mnapiga kelele humu ndani ili iweje nendeni hazina dodoma mkaandamane ikifika week si mtatembea mnaongea wenyewe.Sina cha kukwambia ila tu Acha utani na maisha ya watu.kuwa serious na maisha ya watu mkuu
How is it a favor. Mwezi una siku 30. Ukinilipa tarehe 22 it means tarehe 22 ni mwezi (yaani 30 days).Kwani hujui kila mwezi unaisha lini? Huo ndio mwisho wa mwezi kama ukiingiziwa mapema ni favour tu kama vp unaweza kuziacha hadi siku mwezi unapoisha.huwdzi kuipeleka serikali mahakamani kisa mshahara umeingia tarehe 26 utaulizwa kwani ulitakiwa uingie lini?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Hutakiwi kulipwa tar 22 unatakiwa kulipwa mwisho wa mwezi kwahiyo ikitikea umelipwa tarehe 10 au 15 au 22 ujue hiyo ni pesa ambayo ulipaswa ulipwe mwishoni mwa mwezi ila imeingia tarehe hizo so inapotokea haijaingia hizo tarehe basi ni haki yako kusubiri tarehe husika na sio kulaumu kwanini waliwahishiwaHow is it a favor. Mwezi una siku 30. Ukinilipa tarehe 22 it means tarehe 22 ni mwezi (yaani 30 days).
Kuna hii concept eti mishahara inawahi hakuna kinachowahi ukilipwa Kila tarehe 22 ni kwamba umelipwa after 30 days which means mwezi.
Wakilipa Kwa mfano Kila tarehe 30 it means mwezi. Hakuna favor wala hakuna kinachowahi
Acha kutusemea...usitugombanishe na serikali yetu.Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Maisha yetu yameungana, hauko salama kwa sababu tu sio mtumishi wa umma. Kama uko private sector au unafanya biashara, suala hili linakugusa.Maisha gani sasa mshahara kuchelewa siku mbili tu mnapiga kelele humu ndani ili iweje nendeni hazina dodoma mkaandamane ikifika week si mtatembea mnaongea wenyewe.
ila jamani itafika kipindi mshahara tunaweza kukosa hata miezi miwili wadau dalili ya mvua hiiSina cha kukwambia ila tu Acha utani na maisha ya watu.kuwa serious na maisha ya watu mkuu
Kwani kila mtu lazima ajue kuwa ni mtumishi pambaneni na hali zenu kama ukiwa mtumishi ni lazima ujitangaze basi ww sheria za utumishi wa umma huzijui vizuri kapitie tena upya.Maisha yetu yameungana, hauko salama kwa sababu tu sio mtumishi wa umma. Kama uko private sector au unafanya biashara, suala hili linakugusa.
Haya mambo hutokea pale ambapo serikali imeelemewa na madeni ya nje. Hii ni kwamba hata uwezo wa ku-import wa nchi utashuka. Utamuuzia nan?