Misamiati 50 iliyonisumbua kichwa sana katika miaka hii 50 ya tanganyika.

Umesahau:

Maandamano
Kususa
Magwanda
Hatumtambui
Tunaonewa
Tumeibiwa kura
Tutakesha
Hapakaliki
Hapatoshi
Mpaka Kieleweke
Katiba
Dokta wa Kanoni
DJ
 
61. Ngangari
62. Ngunguri
63. Jino kwa jino
64. Greenguard
65. Mzee wa standards na speed
66. Ruzuku ya mbolea
67. Bi-kiroboto
68: Powertiller
69. Malumbano ya hoja
70. Shule za kata
 
Uwazi na ukweli
Ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi
Igunga
Wanaoishi kwenye nyumba za makuti wamejitakia
 
.... Tumejaribu [?? kuwarubuni]
tumeweza [?? Kuwapumbaza]
Na tunasonga mbele [? Katika kuibomoa nchi] !

... Mpaka leo sijaelewa !!!
 
  • Changanya na zako.
  • Vyandarua vya bush.
  • Sitivini Wasila.
  • Ukiwaona Dito.
  • Jamii forums.
  • Pipoz.
  • Kikombe cha Babu.
  • Mahakama ya Kadhi.
  • Mwembe chai.
  • Dr izak ndodi
  • Maximo.
  • Hospital ya Appolo
  • Ze komedi
  • Siku tisini
  • Balali atazikwa hukohuko.
  • Polonium
  • Wivu wa kike...
 
1.mpango mkakati.

2.megawati.
3.wahisani.
4.wawekezaji.
5.mkopo wenye riba nafuu.
6.libeneke
7.mgao.
8.gamba/magamba.
9.demokrasia ya kweli.
10.tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
11.fitina
12.wanaharataki.
13.posho.
14.Nondozi
15.wadau.
16.uhujumu uchumi.
17.ufisadi.
18.muungano.
19.mchakato.
20.vyama vingi.
21.mabasi yaendayo kasi.
22.barabara za juu.
23.thamani ya shilingi.
24.fursa sawa kwa wote
25.ubinafsishaji.

26.utandawazi.
27.Migomo
28.maslahi binafsi.
29.vyama vingi.
30.kitchen patry.
31.kagha moja ndembendembe.
32.haki za binadamu.
33.hadidu za rejea.
34.Tume ya uchunguzi.
35.nguvu ya hoja.
36.mustakabali wa Taifa.
37.nguvu mpya,ari mpya na kasi mpya.
38.nguvu ya umma.
39.hati ya maridhiano ya makubaliano.
40.ugaidi.
41.ughaibuni.
42.muafaka
43.uchakachuaji
44.mpango ndelevu
45.kamati teule
46.rasimu
47.sharobaro
48.wapiganaji/wapambanaji
49.upembuzi yakinifu.
50.mfumuko wa bei.
Kiduku
 
1. uwezeshaji
2. maisha bora kwa kila mtanzania
3. madaraka mikoani
4. usipime
5. symbion
6. jairo
7. luhanjo
8. ngeleja
9. ruzuku
10. miaka 50 ya uhuru
 
Umesahau:

Maandamano
Kususa
Magwanda
Hatumtambui
Tunaonewa
Tumeibiwa kura
Tutakesha
Hapakaliki
Hapatoshi
Mpaka Kieleweke
Katiba
Dokta wa Kanoni
DJ

Hivi we umeambiwa ugonjwa wako hauponi bila kuiponda cdm? Acha upimbi
 
1.MKUKUTA... Mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umaskini Tanza-nia.

2.MKUBITA... Mkakati wa Kukuza Uchumi Binafsi Tanza-nia!

3. Mpango Kazi !
 
Back
Top Bottom