IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Kwenu Mnaopenda kuweka Laptop zenu mapajani wakati mwafanya kazi zenu. Wanasayansi huko Argentina wamegundua kuwa mionzi inayotokana na wireless internet au wi-fi ktk laptop hasa zinapowekwa karibu na eneo la uzazi husababisha madhara katika utengenezaji wa mbegu za kiume.
Kwa taarifa zaidi soma hapa: Laptops damage sperm? What wi-fi study shows - HealthPop - CBS News
Kwa taarifa zaidi soma hapa: Laptops damage sperm? What wi-fi study shows - HealthPop - CBS News