Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

Nchi hii bwana kweli wanashindwa kutoa matangazo hata kwenye TV na Radio kuwa wananchi msishtuke leo kutakuwa na moja na mbili ni sherehe fulani kuondoka hofu kwa watu.
 
Back
Top Bottom