Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 1,815
- 3,637
KirangaMkuu.
Mimi huwa nasom mijadala mingi humu JF hasa ya dini au imani, sayansi na maendeleo. Lakini nilichoona ni kwamba watu wengi hapa JF (asilimia 98) hawana uelewa wa mambo na elimu ya vitu.
Watu hawajui sayansi ni nini na inashughulika na nini; na hawajui maarifa ya sayansi yamefikia wapi kuhusu ulimwengu wa maumbile, na dini ni nini na inashughulika na nini.