Wanaobisha humu ndani kuwa wahindi si wabaguzi ni ma-****
mimi binafsi, watu walikuwa wakiongelea wahindi vibaya, nilikua naona wao ndo wabaguzi. niliwapenda sana wahindi ndo maana niliamua kusoma india.
MImi nimesoma India zaidi ya miaka 4. nawafahamu wahindi nje na ndani. NI KWELI KABISA WAHINDI NI WABAGUZI.
Mbali na ubugazi WAHINDI hawana utu kabisa. Ni wanafiki na hupenda kujipendekeza ukiwa na mali, kwa sababu wahindi wanapenda sana hela,
ukiwa maskini, wahindi wanakuona kama mbwa...
Nina Evidence nyingi sana kwa experience ya maisha yangu ya india. Ndo maana kila siku napinga swala la wadogo zetu kwetu india kusoma.
kuna madogo walichomewa nyumba yao India, kisa ubaguzi.
Wahindi si watu, kabisa... "madada zetu wale wanaojifanyaga wapenda pesa za kuhongwa, kule india walikuwa wanafanyiwa unyama sana".. nadhani mmenielewa. nina mifano mingi sana.
Kiufupi sipendia wahindi kabisaaa angalieni hata waTZ wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kihindi hapa Tz wanavyo nyanyaswa. ma-house girl, ndo kabisa wanachukuliwa kama mbwa. Jamani wahindi sio watu