Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 539
Kiswahili hakina silabi x na Q sasa hizo x umezitoa wapi?
Kiswahili hakina silabi x na Q sasa hizo x umezitoa wapi?
matokeo ya appeal kwa mwaka jana hakuna alyepata hata mmja kwa wale no loan bt waliongezewa wenye mikp midgo xo cjajua kwa ds yr afu ifm dada bla pexa nalo n tatzo xana dada yangu bt jaribu kumwambia mama akope kwenye sacos za kina mama ndo ss wengne 2nasomeshwa na m nasma ifm naingia secnd yr kwa mikopo anayokopa ma mum xo jarbu fanya hvyo bt kuhcu ku apeal am nt sure god be with u neema kuhusu majbu ya apeal n lazma uwe admited uwe na regstration namba na hayo yote inabd uwe umelpa ada kwa ifm tena yote 1m and 45 elfu yan 60% ya ada afu hyo chance ya ku apeal hutokea baada ya kuanza chuo nd majbu huchukua mda km miez 2
edit hiyo thread yako hapo juu kwanza ..sio unaomba msamaha huku ndani hakuna atakaye toa pesa yake. Hakuna mtu anayependa kusaidia kilaza. Onyesha hekima zako
Dada yangu Jamii Forums ina watu wa kila aina:- Wazito, wasomi na wasio wasomi.
Lugha ya kihuni unayotumia inaweza kukukosesha msaada unaohitaji.
Mfano kwa Waziri au Mkurugenzi atakayeona uzi huu hata kama alikuwa na nia ya kukusaidia anaweza kutofanya hivyo kutoka na Lugha ya dharau uliyotumia kwa kufikiri kuwa watu wote humu ndani ni watoto kama wewe na wana kiwango cha Elimu kama chako.
Vile vile kuna watu wana Elimu ya darasa la saba humu na wanauwezo wa kukusaidia lakini unafikiri ukiandika hiyo lugha yako kama neno hili "10x" watakuelewa?
Unapohitaji msaada jaribu kutumia Busara katika lugha.
Jirekebishe, binafsi ningekuwa na uwezo wa kukusaidia nisingefanya hivyo kutokana na Lugha ya Kihuni uliyotumia.
Kumbuka:- inawezekana siko peke yangu niliyekerwa na hili; kwa hiyo yawezekana umekosa msaada kutokana na lugha uliyotumia.
Ushauri: Jaribu kuhariri
Ila kweli dada umewekaweka maneno ya ajabu ajabu kama upo facebook ila ujumbe umefika
karata unaijua bodi vizuri....mwaka huu madogo kibao wenye vigezo vyote wamekosa....hizo rufaa zao ni geresha tu..mara chache sana hubadilisha labda uzunguke mbuyu..nakushauri ukate rufaa bodi ya mikopo ila lazma uwe na viambatanishi vyote vinavohucka kukutetea Kwa mfano cheti cha kifo cha baba yako,nina uhakika utapata mkopo trust me
edit hiyo thread yako hapo juu kwanza ..sio unaomba msamaha huku ndani hakuna atakaye toa esa yake. Hakuna mtu anayependa kusaidia kilaza. Onyesha hekima zako
nimeipenda hiyo
yani nilivyoona heading roho iliniuma na nikajua sababu anaa tatizo heading hajaandika vizuri kuja kuisoma akanikera na kiswahili hakieleweki hata sielewi inakuwaje hajui matumizi ya ' l' na 'r' hilo nikamsamehe nikajua ni mura yeye
nyingine tena xo aaaa hapo ndo kabisa
sasa dada neema sisi ofisi yetu wanasaidiana watu wenye matatizo kama yako na ninazifahamu sehemu kama tatu
utakazosaidiwa ila unahitaji uandike barua ujielezee(tatizo naogopa kubeba lawama maana sijui kama utaandika barua vizuri)
sawa mdogo wangu basi onyesha umakini hayo ni maisha yako unatakiwa uyasimamie mwenyewe
naomba rekebisha thread andika kiusomi,onyesha unauhitaji si kihunihuni
pia nataka kujua hiko chuo umesharipoti au?maana wanafunzi wamesharipoti? Na kama umesharipoti itakuwa vizuri utafute barua ya head of your department akuidhinishe au barua ya dean of students
sawa utafanikiwa tu usijali
nakuombea sana ufanikishe hilo
Fanya hivi nenda kwenye media yeyote,
Blogs, Tv, Radio elezea tatizo lako vile vile unaweza waona baadhi ya watu ambao wanaweza kukusaidia katika hilo muone Irene kiwia ana group lake wanachangiza pesa kwa ajili ya kujenga hostel I think kwa wasichana wanaotaka kujiendeleza kielimu kama sijakosea inshu yako itakuwa inashabihiana na project yao wasipokusaidia moja kwamoja naamini watakuonesha A hivyo utajua wapi kwa kupata B pili tafuta mtu akuandikie maombi since umeonesha kushindwa kuandika tafuta mtu akuandikie u submit kwa media mbali mbali kama blogs. U-turn ni blog ya kipumbavu ila mange na mashankupe wake wanaweza kukusaidia
Omba ufanye vipindi kwa Radio, Tv halafu onyesha sympath sio unaomba msaada kama unachat na viji boyfriend vyenu kumbuka unaongea na watu wazima huku..